Kagera Tarehe 7, Geita Tarehe 8 Mara Tarehe 9 ya mwezi huu wa tisa mkae tayari Kurudi nyumbani na burudani mwanana kabisa kutoka kwa Aslay na Shilole @TTCLCorporation#rudinyumbanikumenogaI
Kwa wateja wetu pendwa wa @TTCLCorporation mjisikie huru kupiga simu huduma kwa wateja namba 100 kuhudumiwa kwa haraka mnapopata changamoto yoyote. Simu zetu zina rekodiwa kwa kuboresha huduma kwa wahudumu wetu na wateja wetu. Kwetu mteja ni mfalme na tunawajali sana @MwanaidiG
“Huwezi kufikia uchumi wa kati bila Mawasiliano, huwezi kufikia uchumi wa kati bila mtandao” Mh. Waziri @WizaraUUM Isack Kamwelwe akizungumza katika hafla ya ya Huawei kutoa nafasi 10 za mafunzo ya TEHAMA nchini China leo jijini Dar es Salaam.
On this blessed day, may you get what you have been praying for. May all your supplications be answered. May every tear that has fallen down your cheek because of worldly disappointments be equivalent to the best rewards in Paradise. Aameen.
@JiwaAlly10@wazirik@TTCLCorporation Ndugu Pandit hatujaondoa Boom Pack bali imeboreshwa hasa kwa wanafunzi ili wapate haki yao stahiki. Hivyo kusajili kama ni mwanafunzi halali piga *148*30*35#. Enjoy boom pack mpaka last.
Boom Pack ipo!!
Ni maalum kwa ajili ya Wasomi waliopo Vyuoni. Endelea kushusha madesa mtandaoni ukiwa na Mtandao wako wa Nyumbani, TTCL. Kwetu kumenoga.
Sasa tunaongea na kuperuzi nchi nzima kupitia mtandao wa nyumbani wa TTCL. Hujachelewa,weka sim kadi yako kwenye simu yoyote ufurahie huduma zetu kwa gharama nafuu.
#RudiNyumbaniKumenoga