@TonyMureithi@godbless_lema Tanzania inaweza align na Dunia nzima, that's the talent we are born with. We can align with Russia and USA, m23 with DRC, Satan with God. In short we are everywhere. We can also choose to align with nobody. Hiyo ndio Tanzania, tunaweza waachia EAC na kuwaambia SADC apite kushoto
Mamelodi Sundowns and Rhulani Mokwena Agree to Part Ways
Mamelodi Sundowns and Rhulani Mokwena amicably concluded an agreement bringing to an end Rhulani Mokwena’s employment as Head Coach.
Sundowns wishes to express its gratitude to Rhulani Mokwena for his contribution to the successes and achievements of the Club during his tenure as Head Coach. Rhulani Mokwena will forever be part of the Mamelodi Sundowns Family and the club wishes him all of the very best with his future endeavours. .
The decision of Mamelodi Sundowns was taken by the Board taking into account the objectives and expectations of the Club and was not influenced or based on the recommendation of any individual associated with the Club.
Sundowns is deeply committed to the development and growth of South African coaches and players.
Coach Manqoba Mngqithi and the Technical Team will continue to lead and take control of the training and preparation of the players for the upcoming season.
Mamelodi Sundowns is preparing and focusing on competing in all the upcoming competitions and is honoured to be one of four Football Clubs representing the African Continent in the historic FIFA Club World Cup 2025.
GEITA GOLD walicheza na Azam Ijumaa usiku hapa Dar Es Salaam kisha wamesafiri zaidi ya kilometa 1,000 mpaka Geita na kesho watacheza na Ihefu saa nane mchana wa jua kali.
Wamecheza Ijumaa usiku wamesafiri Jumamosi pasi na shaka wamefika leo kisha mchana kesho mechi.
Habari za leo. Nina mwanangu anaitwa Dorcas Bryson (04) mwaka jana alipata tatizo la utumbo mpana kutoka nje wakati wa kujisaidia. Ulikua unatoka kidogo na baadae kurudi.
Lakini kadri alivyoendelea kukua hali imeendelea kubadilika. Mwezi April mwaka huu sehemu hiyo ilitoka kwa kiasi kikubwa na haikurudi ndani. Imeendelea kuwa nje na kila anapojisaidia anapata maumivu makali sana.
Mwezi wa July sehemu hiyo ilivimba na kutoa damu na usaha. Vipimo vilionesha ana tatizo lijulikanalo kama "rectal prolapse" ambalo huwapata zaidi watoto na wazee.
Tumehangaika nae sana bila mafanikio. Baadae tukapewa rufaa ya Muhimbili. Tulipofika aliandikiwa kipimo kiitwacho "Rigid Sigmoidoscopy" ambacho kitachukua kinyama (tissue sample) kuona kama kidonda hicho kimesababisha saratani au lah.
Ikiwa hamna saratani atafanyiwa upasuaji (rectopexy) ili kurudisha ndani sehemu iliyotoka nje. Gharama za matibabu ni 2.5M lakini tumeshindwa kuzimudu. Kila siku hali inazidi kuwa mbaya. Kwa sasa anaogopa kujisaidia kutokana na maumivu makali anayopitia. Maisha yake yamekua ya mateso tangu kuzaliwa kwake, hajawahi kufurahia utoto wake kama watoto wengine.
Naomba umsaidie mwanangu aweze kupatiwa matibabu. Nimeambiwa akiendelea kuchelewa atalazimika kuondolewa njia ya haja kubwa na sehemu ya utumbo mpana iliyoathirika (proctocolectomy), na hataweza tena kujisaidia kwa njia ya kawaida, bali atatobolewa tundu tumboni (colostomy) ambalo atalitumia kwa maisha yake yote. Jambo hili kila napolitafakari linaniumiza sana. Namuomba Mungu mwanangu asifikie hatua hiyo. Tafadhali naomba umsaidie.
#MyTake:
Mtoto Dorcas yupo kwenye hatari ya kupoteza maisha yake akiwa na umri mdogo wa miaka minne tu, kwa sababu ya kukosa pesa za matibabu. Mimi na wewe tuna nafasi ya kumrudishia tabasamu. Mchukulie kama mwanao kisha fanya jambo kwa ajili yake.
Tumelenga kumchangia 4M ili aweze kufanyiwa operation na fedha zitakazobaki ziwasaidie wazazi wake kumuguza. Tuma mchango wako kwenda; M-PESA 0752581983, Tigopesa 0719744954, CRDB 0150633516500 Gifted Heart Foundation. #GiftedHearts #RudishaTabasamu #LetLoveLead
2017 ndio naingia Dar Es Salaam kusaka geto la kuishi la bei chee ndio nikafika sina hata mia ya Dalali, hawa Brothers ni moja ya Wana walionifosia mazingira nipate geto la bei chee, ni familia tangu hapo mpaka kesho! Sema watu wa vyombo sana hawa😀
@AfisaElim@BwanaShilingi Mambo ya Kabeho, Mirambo, Nyerere n.k, Chuo cha ualimu hapo jirani wakizingua walikuwa hawajui kuchota maji Kanta boys. Sio mchezo, nimemiss maisha yake.
Unapiga uji kwa Makaba hatari.
Waziri wa habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye (Mb), amekuwa mgeni rasmi katika hafla ya utiaji saini Mkataba wa Upanuzi wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika Wilaya 23 nchini.Mkataba huo umesainiwa kati ya TTCL na HUAWEI
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye (wa pili kushoto) akipewa Maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa TTCL kuhusu njia ya mkongo katika Wilaya 23 wakati wa hafla ya utiaji saini Mkataba wa Upanuzi wa mkongo katika Wilaya hizo leo Aprili 17, 2023
Mkurugenzi wa TTCL Mhandisi Peter Ulanga (kushoto wanaosaini) pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa HUAWEI, Bw. Demon Zhang wamesaini Mkataba wa Upanuzi wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika Wilaya 23 nchini Hafla ya utiaji saini Mkataba huu imefanyika leo Aprili 17, 2023 Dodoma.
Hakika huu mradi wa uboreshaji wa jiji la Dar es Salaam ( DMDP ), Umeleta mabadiliko makubwa, ikisimamiwa na @ortamisemitz kupitia @TaruraTz
Huu ni Muonekano mpya wa barabara ya Shekilango inayounganisha wilaya ya Ubungo na Kinondoni. Barabara ina njia nne na ina urefu wa 3.7km
Tanzanian Footballer of all Time .. ( TFAT)
Jina la Nani linakujia Kichwani ?
Samatta
Sunday Manara
Mohamed Mmachinga
Lunyamila
Msuva
Peter Tino
Mwingine ?