Bwana Msigwa SHUT UP. Please shut up @MsigwaGerson usiongeze hasira za umma dhidi ya Serikali. NCHI IMEVIMBA hii. Serikali inapaswa kuomba radhi kwa umma kwa UZEMBE. Hatutaki ufafanuzi hapa. WATU WAWAJIBIKE na wewe umeingia orodha hiyo Leo. RESIGN
Unaishi nchi ambayo haina pusher tug/towboat ambayo ingeweza kuvuta ndege iliyoanguka karibu na ufukwe, lakini msemaji wa serikali yako, @MsigwaGerson anasema wametumia pesa nyingi kununua mitambo ya TCRA kukamata wanaokososji wa serikali popote walipo. Una serikali au mauzauza?
Ukijua namna CCM imekaba kila kona na kugeuza mifumo yote to serve its interest mngeacha kushangaa mengi!
Tatizo wachache wenye appetite kushiriki kuleta mageuzi - so they play the CCM game at great cost to all!
Ukweli ni kwamba hatutakiwi kucheza kwa rules zao
#TutaelewanaTu
@SuluhuSamia Kwa kweli unahitajia Waziri mwengine wa Fedha. Mwigulu doesn’t understand banking wala economics at all. Eti wateja wawili watatu! Nonsense kabisa.
Nani kamwambia Tatizo ilikuwa upungufu wa wateja?
🤦🏽♀️
Mwenyekiti Mbowe ana kesi ya kujibu ya ugaidi kwa mujibu wa majaji wa Magufuli na Samia, lakini ni 'Mwamba' na 'Rais' kwa mujibu wa wananchi wa kawaida wa Tanzania!!!
Eti kelele zetu ndo zinamweka Mbowe ndani 🙄🙄
Ila kuna kauli zingine acha ikae hivyo tutaendelea kuweka katika library for fyucha reference!
Hata mkutano wa leo wanaweza ku-claim credit 🤣
Kazi ipo!
Eniwei #tutaelewanatu na as I said #Tutashinda hivihivi na kelele zetu 🤣
@zittokabwe@MsigwaPeter@ACTwazalendo Ulichokiandika ni sahihi kabisa, ila kama mtu akisoma ujumbe wako kwa mhemko hatoweza kuelewa kiini cha hiyo Tweet. Mimi binafsi naona upo correct ni suala la wengine kusoma na kuangalia mambo kwa undani zaidi. Tunajenga nyumba moja, tusinyang'anyane Fito.
@TuliaAckson wewe ni mbobezi wa Sheria, Spika wa bunge la Jamuhuri ya Muungano Tanzania, si vyema kumuacha mbunge aongee vitu ambavyo ni vya kuharibu au kutishia amani ya Taifa ndani ya Bunge. Wananchi wapelekewe Vifaru bila kuzingatia sheria ni kosa na udhaifu wa spika.
“Mgogoro wa Ngorongoro hauwezi kumalizwa kwa majadiliano” So mnataka kupeleka vifaru eti ka Mtwara? And how did that work out?
Ila Rais @SuluhuSamia naamini ungeacha maelekezo kabla ya kusafiri tusingeona wabunge wenu wakitaka kuanzisha vita na wananchi! There’s a price to this!
Familia Hii Inamahitaji Mengi,Wanahitajika Kurudi Kwenye Matibabu,Kuwekewa Kitu Kingine,Lakini Pia Kula Yao Na Mahitaji Ya Kila Siku Bado Ni Changamoto Kwao!
Kwa Chochote Ulichonacho Kadri Utakavyoguswa,Mchangie Mama Huyu Na Kijana Huyu Kwa Namba
0782 505 208 - HALIMA KONDO!!