G-Z wa Zambia leo wamempiga mawe Rais wao Hakainde Hichilema, G-Z wamechukizwa na kitendo cha Rais huyo kuhudhuria uapisho wa Samia wakati kuna Wazambia wameuawa Mpakani Tunduma.
Polisi jijini Dar es Salaam Tanzania wametawanya kundi la vijana waliokuwa wakiandamana katika eneo la Kimara Kibo, umbali wa kati ya Ubungo na Kimara, wakati huu wa uchaguzi mkuu unaoendelea nchini.
Maandamano haya ni sehemu ya mwitikio wa mitandaoni wa makundi ya wanaharakati na vijana wakitaka mageuzi zaidi ya kisiasa nchini Tanzania.
#Tanzania #uchaguzimkuuTanzania #bbcswahili #vijana #uchaguzi
Bilionea Bill Gates ameahidi kutoa karibu mali yake yote katika kipindi cha miaka 20 ijayo kupitia Taasisi yake ya Gates Foundation, akisema watu masikini zaidi duniani watanufaika na kiasi cha dola bilioni 200 [TZS trilioni 541].
Katika hatua isiyo ya kawaida, Gates pia amemtuhumu Elon Musk kwa kile alichokiita kuwaua watoto masikini duniani, kutokana na kupunguzwa kwa kiasi kikubwa misaada ya Marekani kwa nchi masikini.
GODBLESS LEMA: Baba Yake BEN SAANANE Aliniambia “BEN Ni Mtoto Wangu Sio MBUZI Yangu” Serikali Initafutie Mtoto Wangu
Leo Tena DEUS SOKA Na Wenzake, Dogo CHAULA, KIPANYA Na Wengine Wengi Hawajulikani Walipo. Mpaka Leo BEN SAANANE Hajapatikana DEUS SOKA Na Wenzake Watapatikana?