Naomba repost yako familia 🤝,
Kwa spare parts imara za pikipiki chimbo ni moja tu kwa SAM SPARE PARTS pale NGUSERO ARUSHA tunauza jumla na rejareja Karibuni sana wateja wetu mjipatie spare parts imara za pikipiki kwa bei nafuu sana,
Mawasiliano: 0754936565.
🔥 Viatu vya mtumba vya grade A vinapatikana kwa bei nzuri sana! 👞👟
Tunauza viatu vya wanaume, wanawake na watoto quality kali, smart na vinadumu.
✔️ Vya kisasa
✔️ Bei rafiki
✔️ Vya kazi, outing na shule
✔️ Mzigo mpya kila mara
Usikose kuonekana smart kwa bajeti nafuu 😎
Thank you so much🥰🔥❤️familia walipendeza sana, asante kwa kuniletea wateja Mungu akubariki 🙏🏽 next time naomba uje pia plz😂🔥unaona dogo alivopendeza?!?
For makeup bookings
Piga simu/ Whatsapp 📲 0676335537
📍Sinza, Ahadi St
#glammedbyqueeenminah
Ndugu zangu, tunaomba msaada wenu 🙏
Mtoto ana tatizo la tundu kwenye moyo na kwa sasa anapatiwa matibabu katika hospitali ya JKCI. Gharama zinazohitajika kwa ajili ya upasuaji ni TSh 7,180,000.
Tunaomba msaada wa chochote ili kuokoa maisha ya mtoto huyu.
MSAADA WA FEDHA ZA MATIBABU
Habari ndugu
Tunaomba msaada ili kufanikisha upasuaji wa moyo wa mtoto, Salha Feruzi Msebei(miezi mitatu) ana tatizo la tundu kwenye moyo. Anatakiwa kufanyiwa upasuaji JKCI kwa gharama ya 7,180,000 lakini mpaka sasa imepatikana 2,000,000/=
Changia Chochote kupitia control number 994830505537
Namba ya mama mzazi wa mtoto ni 0781 244 918
Chunky Bangles available in different designs
For just 25,000 per bangle
Stainless Steel
Hypoallergenic
Water proof
And very good quality
📞\📲. - 0767509629
Sunglasses available in different designs too..for just 45,000.. 👌
#BeautybyManta