Won the league. Reached a UCL final. Lost on pens. And rivals think I'm supposed to be SAD?
Bro I just had the greatest Arsenal season in my GENERATION.
#TajiriLaKihaya
Tunaomba Wana Arsenal Tuliweke hili Sawa!
Sisi BADO tunasherehekea UBINGWA wa EPL… Hata tamasha zote zilizoandaliwa leo na Kesho ni Kwa ajili hio…
UEFA haikua kwenye malengo yetu msimu huu…. Hii mechi nkama Bonanza ya kusherehekea Ubingwa wetu- Hatuna Pressure nayo kabisaaa….
Chochote kitakachotokea jioni ya leo… hayataathiri Kwa namna yoyote sherehe zetu…. Na ndio maana hata Uingereza Arsenal wameshatoa Route la Parade letu la Kesho pale LONDON- with or without UEFA!
Ikitokea tukachukua kombe… sherehe zitaanza upya na tutapanga tena siku nyingine ya kusherehekea kombe la UEFA…
Wenye pressure na hii fainali ni nyie Haters 😅
Asante MUNGU hili gumu sana limepita.
Kesho narudi RASMI kuendelea na kazi ya kushughulika NA WAKOLONI WEUSI.
Haya magumu ninayopitia wao ndio chanzo kikuu-siwezi kuwaacha mpaka naenda KABURINI.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
KUNA ISSUE MOJA DEADLY AMENITUMIA MDAU
TUNATEKWA, KUTESHWA, KUUWAWA NA CHAGUZI KUCHEZEWA SABABU HII NCHI INAWAMILIKI WAMETUPORA NCHI
======= MESSAGE RECEIVED ==========
TAIFA GAS NA PAN AFRICA
Ngoja nikitulia nitakusimulia kilichofanyika nyuma ya pazia kikihusisha Aziz, January, Biteko na baadae mwenyekiti wa bodi ya Taneso ambaye sasa ni waziri wa ulinzi, Ni hujuma mbaya sana
Mwaka 2021 baada ya Makamba kuchukua nishati, RA aliamua kumkamata na wakapanga game kama ifuatavyo
Mkataba wa Pan Africa energy ambayo inamilikiwa na Pan Africa Mauritius(PAEM) ullikuwa unafika mwisho October 2026. Kulingana na Mkataba huo uliotiwa sahihi mwaka 2002, Pan Africa Energy walikuwa wanaruhusiwa kuomba extension ya leseni kwa kipindi kingine cha miaka 10 au zaidi kulingana na mahitaji
Hivyo April 2022 Pan Africa wakaomba licence renewal kulingana na mkataba na sheria....Waziri ndiye mwenye mamlaka ya kutoa leseni baada ya kushauriana na TPDC, Ewura na hata PURA yaani Petroleum Upstreaam Regulatory Authority
Waziri kwa sababu tayari alishapangwa na RA akaanza dana dana. Wakati huo huo, Songas ambayo ni kampuni ya kufua Umeme unaotokana na gesi ya Songosongo na yenyewe mkataba wa kuuzs Umeme ulikua unafikia ukomo July 31 saa tano dk 59 usiku 2024
Kati kati ya hili sakata Tanesco ikapata bodi mpya chini ya Ramo Nyansao kama mwenyekiti(kwa sasa waziri wa ulinzi na ofisa wa TISS).
Nyansao akiwa banker pale Azania kafanya deals kibao na RA. Hivyo alipoingia Tanesco kila weeekend alikuwa anashinda nyumbani kwa RA...akaahidiwa ukatibu mkuu Fedha au Ugavana lakini naye ahakikishe hakuna Tanesco kutoa tena mkataba wa kununua umeme kwa Songas!
Kumbuka Songas inamilikiwa na Pan African energy kwa asilimia 51 na 49 asilimia ni serikali kupitia TPDC na Tanesco!
Sasa unakataa kutoa PPA mpya kwa shirika ambalo serikali ni mbia kisa unafanya frustration baadae RA anakuja kuchukua usukani na atapewa mkataba mpya wa kuuza umeme na leseni ya kuchimna gesi kwa miaka 20@
Kweli serikali ikaunda GNT(government negotiations team) August 2024 na kuanza mazungumzo na Songas kuhusu mkataba mpya wq kuuza umeme Tanesco(PPA) na baada ya miezi mitatu makubaliano yakafikiwa kwa bei ya chini sana.
Lakini RA alishakamata Mwenyekiti wa Bodi ya Tanesco na wizara ya Nishati, hatimaye Tanesco wakadai wana umeme wa kutosha hivyo hawahitaji tena Songas... sababu ni JNHPP
Hata alipoondoka Makamba akaja Biteko ambaye tayari alikuwa na dealings na Azizi kwenye madini, hali ikawa mbaya zaidi kwa Pan Africa na Songad
Wakati Tanesco wanadai wana umeme wa kutosha, walianzisha miradi kama minne ya zaidi ya usd 600m ya kuzalisha umeme kwa gesi!
Baada ya serikali kupata taarifa hii ya kutaka kushtakiwa na ORCA, wakaanzisha mazungumzo na Pan Africa kujaribu kutatua tatizo la ucheleweshaji wa uhuishaji wa leseni....mazungumzo yakagota Dece 2024
Kisha TPDC wakajifanya kukubali kutoa huisho la leseni lakini kwa masharti ambayo Pan Africa Energy akayakataa kwa sababu hayatekelezeki
Wakati huo serikali haikuwa na habari kama hawa jamaa tayari wana taarifa kwamba nyuma ya kadhia yao yote yupo RA.
Mwaka jana 2025 Ocra akafungua kesi kwenye kituo cha usuluhishi wa migogoro ya Kibiashara cha WB ICSID
Kesi ile kitaalamu serikali ilikuwa haichomoki hata kidogo kulingana na ushahidi wa kitaalamu waliokuwa nao Pan Africa
Wakati kesi inasubiriwa, Pan Africa wakaamua kufuata usemi wa mchawi mpe mwanao amlee, wakatumia nguvu ya tatu na kumpa RA deal la kununua. Akajaa, Pan Africa wakaona kuliko kusumbuana na Tanzania na mazingira ya kisiasa hayatabiriki kwa uwekezaji mkubwa kama ule, bora wauze
Na ukisoma taarifa ya juzi kwa umakini utaona ni kama wanasema Tanzania kwa sasa gharama ya kuwekeza ni kubwa mno kwa sababu za kisiasa na fitina
Kwa Tanzania IMMMA ndio walikuwa washauri wa kisheria wa Pan Africa...
Kwq hiyo Pan Africa amelazimishwa kuuza assets zake Tanzania kwa sababu ya siasa mbaya, rushwa na figisu za watendaji wa serikali
Hatua hii haipeleko picha nzuri kwa wawekezaji wa kimataifa ambao walitaka kuweka dola bilioni 40 kwenye LNG
Ilianza figisu kubwa kupitia kwa akina Zitto ambaye alikuwa ni Swahiba wa January na RA, kwamba Pan Africa haikuweka mtaji wowote Tanzania wakati...na kwamba pesa yote ya mtaji ilitoka serikalini. Huo ni UONGO
Serikali ya Tanzania kupitia kampuni yake ya Tanzania Finance Ltd ilikopa mkopo wa riba nafuu kwa nchi za Ulaya mwaka 2001, kisha na yenyewe ikaikopesha Pan African Energy kwa riba ya kuu kidogo na deni lilikuwa likilipwa kila mwezi. Pale Tanesco ilipofanya malipo kwa Pan Africa ya kununua Umeme, sehemu ya malipo ilikwenda hazina kulipa mkopo.
Wote hawa akina dalali walikuwa wameandaliwa kimkakati
Sina uhakika kama Jumba jeupe wanajua kilichofanyika lakini mimi kama mtu ambaye ni mtaalamu wa FInance na ni Mwanasheria nilikuwa kwenye kitovu cha jambo hili tangu 2002
Sasa RA hajui kwamba hawa wawekezaji walijua mapema sana kwamba kukwama kwao hapa Tanzania kulichangiwa na yeye. Kwa sababu alitaka jamaa mkataba ukiisha, yeye na wenzake waingie kati
Lakini baada ya kuona serikali itapigwa kwenye mahakama ya Kimataifa, kuna mtu mmoja akatoa ushauri kwamba Aziz akubali kuchukua assets hizo kisha zile kesi zitakufa mara moja
======== End of Message ========
Ndio mjue tuko kwenye shimo na hii taasisi inaitwa TISS ni tatizo kubwa sana, matatizo yetu yote yanaanza kwenye hii taasisi, kila tatizo wana mkono ndani yake