@TBoundBuses Kuna chuma moja ya Mwanza to Arusha siitaji jina lake zile herufi 2 za mwanzo ni Sawa na Jina la mkoa mmoja kanda ya ziwa, then malizia na Express na ina rangi ya chama, ile bus nimepandia Mwanza ila ikitokea mtu anaenda hungumlwa akipunga tuu mkono anabebwa, Nilijuta
@Allypapala @masuba___ @TBoundBuses Shabiby kulaza kiti unatakiwa ufyatue kilazio cha seat ambacho kiko ubavuni
Jambo la kugawa vinywaji ni kweli wanazingua sna