@HajiManara Wewe @HajiManara ndo sababu ya yanga kufungwa leo maana mwez mzma mmekaa kuisema simba badala uwashaur viongoz watafute mech za kirafiki bt hata kma hakuna lisilowezekana wale Jamaa mkiwatoa n kwa bahat tu ila timu lako bdo sana..
@Mpango11 Atuangalie upya kwa hiyo tozo ya miamala ya fedha maana tunaoumia ni sisi walala hoi ๐๐yani kiujumla serikal itufikirie upya maana kodi ya uzalendo ni hiari ya wazalendo wenyewe lakn hapa ni kama tumekamatwa vibaya
Yaaani ndani ya muamala mmoja kuna tozo kama 4 daaah.
@CloudsMediaLive Welldone bt tff hebu kuwen makn na kaz yenu maana haya masuala hata nyie mmechangia kuifanya nchi tuonekane wababaishaji ila KARIA na wenzako mmejitahd kuusaka ukwel mana wangekuwa wale wengne nchi sahv ingekuwa bado ipo kizani