@Ramso51938739@moshijnr Ametoa penalts nyingi sana kwa yanga wanapokua wanacheza na simba mm nahis jamaa ana bias coz ukiangalia aina ya penalts anazowapaga yanga zngne ni soft kuliko zle za Jana. Ile incident ya saadun kupigwa na mpira mkonon wakat ametanua mkono angefanya vle wa simba angefunika
@DanyMsigwa@SportsarenatzTz Alitoaga penalty ya kizembe kinyama game ya simba dhidi ya yanga kazi vs Aziz ki
Ukiwa shabiki wa yanga utaona nyepes lakin ingekua upande wako nd unajua namna unavyo sound