Sehemu ya 5 ya Simulizi tamu ya Giza la Ikulu, iko kwa hewa sasa. Je, Kito atamchagua nani afe kati ya Baba yake aliyemtelekeza kwa muda mrefu au Dada yake aliyemficha siri kwa miaka 12? Bonyeza link utazame dude jipya.
https://t.co/XtwIkuBlAI
https://t.co/PLtyIsteo6
Habari hapo👋
Sehemu ya Tatu ya simulizi ya Giza la Ikulu Operation Mrithi 3 iko hewani muda huu. Unaweza kuisikiliza kwa kubonyeza link hapo. Subsribe, like, comment share.
Episode za nyuma zinapatikana kwenye channel yetu Ya SBS Flix youtube
Yamesalia masaa tukutane Busatini. Burudani ya Busati la Pwani -Shy Town inaongozwa na Fatma Mcharuko wa Jahazi Modern Taarab, Chombo, Zarina, Dj John Lyatuu, DJ Nuraty, MC Hawa Kaswa.
Ukumbi: NSSF Hall
Tarehe: 19 December
Siku: Ijumaa
Viingilio: Reg. 30K, VIP 50k, VVIP 100K
Kumuomba/ kumshukuru 🙏MUNGU ili akusaidie ufanikiwe kufanikisha DHAMBI yako ni kosa?
Mfano 1. Mwizi akisali ili asikamatwe.🧎
Mfano 2. Kahaba anaomba apate madanga🧎♀️
Tulipoambiwa tusajili tukamleta Kyombo, Akpan, Mzungu, Kapama, Oatara, Okwa, Okrah na vipuli vingine ambavyo hatuna kazi navyo.
Kila siku lawama kwa kocha ila hata ungekuwa wewe, Bocco ndo best option kwa striker ungeshinda??!!
CHADEMA wanazindua mikutano ya hadhara kesho Mwanza.
Leo nimepiga story na CATHERINE RUGE katibu BAWACHA na ameniahidi kuwa itakuwa mikutano yenye heshima na adabu.
Amenihakikishia pia kuwa kamanda wa jeshi la polisi amewapa ushitikiano.
Nasubiri nione KESHO INAISHAJE
Hii dunia bila shetani ingeboa sanaaa. Fikiria, Kila starehe ni ya shetani. Hata Mungu alimtuma mwanae afe. Jiulize kwanini asingeamua gu kumuua shetani since day one?
Pata picha dunia bila shetani. Mhhh
Mery XMass
Mheshimiwa waziri @Nnauye_Nape naomba kueleweshwa NI KWA NINI MTU ANAKATWA PESA KWA KUPIGA SIMU YA HUDUMA KWA WATEJA HASA KWA MABENKI. Nilidhani huduma kwa wateja ilipaswa kuwa bure!🤔
Club Africain wakati wanajiandaa na Yanga SC mechi zao 4 ziliahirishwa
⚠️19 Oct vs Métlaoui
⚠️22 Oct vs Soliman
⚠️26 Oct vs Monastir
⚠️29 Oct vs Sidi Bouzid
Tokea tar 8 Oct walipocheza na Kipanga mechi ya kwanza hawajacheza mechi ya ligi. Wamecheza mechi 1 tu ya kirafiki
WANAJIULIZA
1. Mwigulu alipotangaza kuanzisha TOZO alipigiwa makofi na wabunge wakamsifu raisi Samia.
2. Alipotangaza kupunguza tozo baada ya malalamiko ya wananchi, Wabunge "serikali ya mama ni sikivu"
3. Tumefuta tozo... "mama anataka tubane matumizi"
NI MAMA AU WANANCHI?
Nahisi jila la Jeshi la zimamoto nauokoaji linatubana sana kimatumizi.
Lingeitwa tu JESHI LA UOKOAJI.
Jina la sasa linatufanya tuwaite kwenye moto tu wakati wanapaswa kuitwa kwenye kila tukio linalihitaji uokoaji.
Ni dhambi mbaya kufanya jema kwa kuwa watu wanakuona.
Fanya jema kwa kuwa wewe ni mwema.
Ni dhambi mbaya zaidi kufanya uovu kwa kuwa watu hawakuoni ili waendelee kukuona mwema.
HUO NI UCHAWI
Natamani kwenye mahusiano mwanamke ndiye angekuwa msemaji mkuu. Yani wao ndiyo wanatongoza na kutueleza mipango yao juu yetu.
Nadhani mapenzi mengi yangedumu coz wasingetuongopea sana.
Mnaonaje? Au siyajui mapenzi?
Heshimu sana kibarua cha mtu. Kuna mtu mwingine anafanya hako kakibarua ili ale, yeye na familia yake.
Ukimvurugia unaua familia nzima
Huo ni uuaji pia