Mwanga wa ndani hunifanya nijipate nitakiwavyo kuishi naam hata kupata ujasiri wa kusonga mbele katika kweli!!
Mimi ni wazo la Mungu _Tusitishane!!!Tutende kwel
Anayeendesha account hii ni Mwanamtandao alosemwa na Polepole, watu mlikuwa mna mhype nawaangalia, namjua na mbaya zaidi kipindi Polepole anataka kutekwa Mara ya kwanza alipandisha tweet kwa codes wakawa wamelenga target isiyo! Siku ya pili akatweet tena ndo akadakwa Polepole
"Nimewakamata Wanajeshi wawili (JWTZ) kwa kosa la kukataa nyumba zao zisibandikwe Mabango ya Samia. Na Kama mnavyojua hawana maisha tena hivyo na nyie muwe makini". ZCO, Faustine Mafwele akiwahutubia Askari wa Kanda Maalum ya DSM.
Kaka wa Polepole Augustino amejitokeza tena mchana wa leo.
Ametuma salamu kwa MAFWELE, ABDULI (MTOTO WA SAMIA) & yesu (Murilo) hii code nimewatolea mimi.
Amesisitiza ukombozi wa Taifa upo karibu.
TUTAKUWEPO🫵😎
Kuna watu wengi sana waliouwawa kwa sababu ya maneno ya uongo. Hili ni jambo la kusikitisha na la kuhuzunisha sana. Tunahitaji watu wenye uwezo wa kuchunguza, kufikiri kwa kina na kutafiti kwa usahihi, na kuchambua mambo kwa uadilifu katika taasisi zote za usalama wa nchi. Huu ndio msingi muhimu wa kulinda amani na haki katika taifa lolote.
Lakini kwa masikitiko makubwa, uongo umekuwa kama biashara kwa baadhi ya watu wenye nafasi au ushawishi. Wameugeuza uongo kuwa chombo cha kujipatia faida, mamlaka, au kulipiza visasi. Matokeo yake ni maumivu, uonevu, na kupotea kwa imani ya wananchi kwa taasisi muhimu za dola.
Leo hii, taifa letu linahitaji mageuzi ya kweli katika nyanja zote, mageuzi yatakayorudisha heshima, uwajibikaji, na ulinzi wa haki za binadamu. Vijana wa chama chetu wanatekwa na kuteswa bila sababu ya msingi, hali inayoongeza hofu, huzuni na hasira katika jamii.
Siku moja, haki italia kwa sauti kubwa, kwa sababu mateso haya yamegusa kila kona ya nchi. Kila ukoo au angalau kila kijiji kitaguswa na huzuni ya ukandamizaji. Ni wajibu wa kila mmoja wetu kusimama upande wa ukweli, uadilifu, na utu.
MAJIBU YA KAKA WA POLEPOLE BAADA YA KUPOKEA WITO WA POLICE.
FAMILIA IMENYOOKA SANA HII TUITUNZE KWA WIVU MKUBWA SANA KAMA TAIFA.
REPOST 200
#FreePolepole#TUTAKUWEPO🫵😎
Sasa mmeelewa kwanini Tundu Lissu alikuwa anataka hii kesi ifike Mahakama Kuu! Anachokifanya Lissu ni kuonesha 'link' kati ya vyombo vya dola & Chama tawala. Lissu ana EXPOSE uozo wa mfumo mzima. Lissu anaonesha Umma kuwa hii nchi IMEOZA & inaongozwa na CRIMINALS. TAL ni 🧠.
Ndani ya siku tisa.. watu 13 wametekwa… Iko wapi serikali?
Hii serikali inataka iheshimiwe kwa kipi?
Jana kule kwetu Sirari wamechukuliwa watu wawili, sasa jumla 15.
Gimase joseph Gimase & Isaya
Wako wapi jukwaa la wahariri kina Balile?
Kwanini makanisa na misikiti inakaa kimya watu wanapotea hivi ndani ya Nchi.
Watanzania msinyamaze, hii haikubaliki.
Laiti Kesi hii inayomkabili Tundu Lissu ingekuwa Live , muone, msikie. Hakika Ulimwengu ungeshuhudia uonevu na aibu kubwa inayotokea hapa. Ni aibu tupu.
Mlipuuza madai ya haki. Mmetupatia kesi za uongo. Mmeteka, mmetesa, mmeua na kupoteza watu ili mtutawale bila upinzani. Ukatili wenu ni dhahiri kwa kila mtu. Sasa Taifa zima linahitaji mbadala wenu. Hamkuwa tayari. Utu umeishinda dhuluma. Mavuno hayako mbali. Aluta continua.
Wananchi na wanachadema wote, chukueni tahadhari kubwa sana, msikubali kuchukuliwa na watu kizembe.
Usikubali kuitwa na mtu usiemjua popote.
Usitembee peke yako bila sababu.
‼️🚨AIBU TUPU MBEYA AKAMATWA KIJANA MWISLAM NA MAVAZI YA KIPADRE WA KIKATOLIKI🚨‼️
This is very low! In Mbeya a Muslim man was caught disguising himself as a Catholic priest and taking part in a CCM campaign rally 🚮
Nauliza tena @SuluhuSamia mnachotafuta kwa wakatoliki ni nini? Huu upumbavu utaleta ugomvi wa kidini!
@nchimbie we mnafiki na ndiyo maana nilishashauri utengwe kabisa na Kanisa!
Mnasimamia Kanisa kubagazwa na kubanagwa namna hii!?
Eniwei! Najua mnahaha kuonyesha mnakubalika ila #NoReformsNoElection
#TutaelewanaTu
Why is @SuluhuSamia “gifting” an expensive vehicle to a Kenyan influencer?
Where did she get the money from? We need answers!
Yaani Mama yenu ameacha kuelekeza pesa zisaidie wanawake na watoto mahospitalini anatumia MAMILIONI kumpa zawadi blogger wa Kenya?
Alafu kuna chawa anasema “mitano tena”!?
Ila @ccm_tanzania mko sawa kichwani huko?
Eniwei endeleeni kufuru lakini #TutaelewanaTu
Maana #WenyeNchiWananchi
#Oktoba29Tunatoka