Kutokupost picha ya mama yangu haimaanishi kama simpendi,niko na imagine my brothers and sisters waliopoteza mama zao maumivu wanayopitia siku kama ya leo wakiona wenzao wanapost mama zao.
Mwenyezi MUNGU awape subira na imani🧎➡️🤲♥️🙏🏿
#HappyMothersDay
Kama umeniwish men’s day,naomba tuma screenshot.
Na kama message yako ulituma kabla ya saa 6 bila mimi kuomba.
Tuma namba yako
Nikutumie elfu 50 ukale pipi😒
Nimeziona zile video za yule kijana anaepigwa! To be honest kila nikikaa naisikia sauti ya yule dogo anavyolalamika! Nimeshindwa kufocus na siamini kama waliofanya vile ni binadamu wa kawaida🥹😭
This is too much…!
Mwisho lakini si kwa umuhimu, kitu chochote unachomfanyia mwenzako, hasa vitu vibaya kumbuka na wewe vitakurudia tena ni mara mbili yake.
Karma is REAL📌