Home
Language
English
Türkçe
Bahasa Indonesia
About
Privacy Policy
Terms of Service
Pricing
Sign In
Download All
Share
Michael Wangombe
@mcawangombe
Joined September 2014
98
Following
2.3K
Followers
5.1K
Posts
Michael Wangombe
@mcawangombe
over 5 years ago
Nakutakia mchana mwema. Please ukipata hii ujumbe nitumie SMS Kwa 0720176934 ya please call me
Michael Wangombe
@mcawangombe
about 8 years ago
Ombi langu kwa Mungu kwa ajili yako liko Kumbukumbu la sheria:7 Kwa kuwa BWANA, Mungu wako, amekubarikia katika kazi yote ya mkono wako ..
Michael Wangombe
@mcawangombe
about 8 years ago
Maombo3:24BWANA ndiye fungu langu,husema nafsi yangu,Kwa hiyo nitamtumaini yeye25BWANA ni mwema kwahao wamngojeao,Kwa hiyo nafsi imtafutayo
Michael Wangombe
@mcawangombe
about 8 years ago
Maombolezi3:22Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii,Kwa kuwa rehema zake hazikomi.23 Ni mpya kila siku asubuhi;Uaminifu wako ni mkuu
Who to follow
♤ GIDEON ♤ WANYOIKE♤
@GideonWanyoike2
HUMBLE MAN, PRAYERFUL, GOD FEARING AND A MAN WHO RESPECTS OTHER PEOPLES OPINIONS
Johnkohez
@johnkohez
I like what i do
Waikinda
@AmWaikinda
Nakuru Analyst|Mental Health Advocate ||Economist ||Team Jesus ||
Michael Wangombe
@mcawangombe
about 8 years ago
Nilipoteza biblia na vitabu vya kanisa dukani kwa kinuthia inooro chandera jana usiku.kama uliziona nipigie...0729521784 utabalikiwa.
Michael Wangombe
@mcawangombe
about 8 years ago
Kwa niaba ya Kimotho Kungu,nakualika kwa mchango wa kugharamia bill ya hospitali ya mjukuu wake kanju jumatano hii saa sita.Bill ni 150000.
Michael Wangombe
@mcawangombe
about 8 years ago
Nakutakia jumapili njema iliyojaa furaha na Amani ya Bwana. Mungu akubariki na akupe Amani isiyofahamika na wanadamu.
Michael Wangombe
@mcawangombe
about 8 years ago
Metha21:13Azibaye masikio yake asisikie kilio cha maskini,Yeye naye atalia,lakini hatasikiwa.(Ni vyema kusaidia waliyo na shinda tubarikiwe
Michael Wangombe
@mcawangombe
about 8 years ago
Serikali ya County isipokubali kuwapa bursary day scholars, basi nitaipeleka kortini Kwa sababu hata wazazi wa day scholars hulipa ushuru.
Michael Wangombe
@mcawangombe
about 8 years ago
Kuanzia wiki ijayo nitaongoza mikakati ya Ku "Petition"yaani kuchua sahihi kuisulutisha serikali ya NKR county iwape bursary day scholars
Michael Wangombe
@mcawangombe
about 8 years ago
Ofisi ya Mbunge Molo ingetaka kuwashukuru wana Turi Ward wote waliojitokeza kwa Matibabu ya bure ya Meno,Waliotibiwa walikuwa zaidi ya 260.
Michael Wangombe
@mcawangombe
about 8 years ago
waliomaliza fm4 wakapata c- kulundi chini na walioacha na wangependa kuendelea na masomo waje na wazazi ofisi ya chifu muchorwe alhamisi
Michael Wangombe
@mcawangombe
about 8 years ago
Kiongozi anayejali watu wake atawatetea wanafunzi WA day school wapewe bursary wala sio kutetea serikali ya County inyanyaze watu wake.
Michael Wangombe
@mcawangombe
about 8 years ago
Weka line yako ya Airtel Twitter kabla ya kesho safaricom wazime mitambo Yao ya twitter. Tuma SMS ifuatayo Kwa 30404.F mcawangombe
Michael Wangombe
@mcawangombe
about 8 years ago
CDF iliwapa wanafunzi wote wa day school, boarding,college,polytecchnic na university https://t.co/TDEncxZK5o makosa County kunyima day scholars bursary
Michael Wangombe
@mcawangombe
about 8 years ago
Wale walikua wametuma Maombi ya Bursary wafike Kwa office ya CDF Turi,MOLO Ama Elbugon waangalie waliopewa bursary.Wanafunzi wamepewa bur...
Michael Wangombe
@mcawangombe
about 8 years ago
Nauza mbuzi (senge)ndume(breed ya maziwa),piga 0714744650
Michael Wangombe
@mcawangombe
about 8 years ago
Nilipoteza kitabulisho changu Kati ya molo na much or we cha Mary wambui Rugambi ukipata ni pigie no 0713132833 am a 0703514854
Michael Wangombe
@mcawangombe
about 8 years ago
Kutakuwa na interview mugumo sec kesho saa tatu asubuhi.Inahitaji walimu wa college ambao watafunza wanafunzi mwezi ujao. piga 0763780720
Michael Wangombe
@mcawangombe
about 8 years ago
Muchorwi Dispensary itaanza kupeana huduma kwa watoto tarehe 24/5/2018. Karibuni kwa chanjo na huduma zingine.
Last Seen Users on Sotwe
GOLD VİP ADMİN
Seen from
Turkey
每日大赛帅哥
小铭同学(互推)
Seen from
Netherlands
Giang
Seen from
Vietnam
Penikmati Hijab
Seen from
Malaysia
مجهووول
Seen from
Germany
🐷🍼
Seen from
Thailand
Abdullah Alotaibi.
Seen from
United States
Logal
Seen from
Indonesia
Şeyma
Seen from
Turkey
Trends for you
1
Fauci
Under 10K tweets
2
Covid
Under 10K tweets
3
Rand Paul
Under 10K tweets
4
Good Thursday
Under 10K tweets
5
Fifth Amendment
Under 10K tweets
6
AIDS
Under 10K tweets
7
Harvey
Under 10K tweets
8
#AEWDynamite
Under 10K tweets
9
Wuhan
Under 10K tweets
10
Happy Friday Eve
Under 10K tweets
Most Popular Users
1
Elon Musk
@elonmusk
241.1M followers
2
Barack Obama
@barackobama
119.1M followers
3
Cristiano Ronaldo
@cristiano
112.3M followers
4
Donald J. Trump
@realdonaldtrump
111.8M followers
5
Narendra Modi
@narendramodi
107.1M followers
6
Rihanna
@rihanna
98.1M followers
7
NASA
@nasa
92.2M followers
8
Justin Bieber
@justinbieber
91.3M followers
9
KATY PERRY
@katyperry
88.7M followers
10
Taylor Swift
@taylorswift13
82.5M followers
11
Lady Gaga
@ladygaga
74.1M followers
12
Virat Kohli
@imvkohli
71.4M followers
13
Kim Kardashian
@kimkardashian
70.3M followers
14
YouTube
@youtube
68.7M followers
15
Bill Gates
@billgates
64.4M followers
16
Neymar Jr
@neymarjr
64.3M followers
17
The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers
18
CNN
@cnn
61.8M followers
19
Selena Gomez
@selenagomez
61.7M followers
20
X
@x
60.8M followers
Olivia
Online
✨
⭐
💫