Ukitaka KUMONETIZE degree yako, Tumia Roadmap ifuatayo yenye stage 3!
Hatua 10 fupi:
STAGE II: MEDITATION
1. Chagua unataka kuwa nani. Ni kitu gani wewe ni noma sana kwenye? Unataka kutumia degree yako kufanya nini? (Mission, purpose, values & vision) Hyo ndo Brand Identity yako/Simba wako.
‼️Usitake kuwa kila kitu. Inawezekana lakini itakukosesha muda, Professionalism na Consistency. Usitake kila mtu awe mteja wako.
2. Mtambue mteja wako. Hizo skills na ujuzi ulionao kuna watu wanaweza kulipa kiwango chochote endapo utawasaidia mawazo na suluhu ya matatizo yao. Sasa ili uweze kuwauzia inabidi umuelewe vizuri mteja wako.
3. Utatengeneza Visual Identity. Kabla sijakuelezea hii nikuelezee kitu kingine muhimu kwanza:
- Hii process ya kutengeneza Personal Brand inahitaji kazi nyingi sana za kufanya. Ifikirie kama kampuni, unahitaji marketing department (wewe), sales dept (wewe), Customer Service Dept (wewe) na Bado kuna kufanya Fulfilment. Sasa unabidi mwanzoni ujifunze basics ya skills zote! Mimi nitakusaidia sana katika Brand & Marketing dept, ukae karibu sana na Youtube Channel Yangu. https://t.co/eUw8sZKkKt
- Kwenye Hii visual identity utahitaji kustructure jinsi unavyotaka uonekane! Brand presentation inahusisha pia Rangi na Sauti utakayotumia kila utakachochagua kiwe na story. Canva ni tool itakayokusaidia kufanya haya yote. Juzi nilikuwa Youtube live nawaonesha rafiki zangu jinsi ya kutumia Canva. https://t.co/OTwXBcn8Zi
STAGE II PROFFESSORIZATION
1. Ji-PhD
This is my favorite stage. Hapa unakaa asilimia 90 ya muda wako unasoma na kuandika kuhusu knowledge yote inayohusu hyo profession au ujasiriamali unaotaka kufanya. Kama umesoma Medicine na unataka Kuji’brand’ kama daktari bingwa wa macho, unasoma kila kitu kuhusu macho.
- Soma kila kitu mpaka uhisi hakuna anayejua hicho kitu kuliko wewe (ji-PhD). Kwahyo hata mimi niite dr @mcbenvics
2. Tengeneza Sanaa Yako! (Content)
Content ni Marketing Strategy. Uandishi wako unabidi uwe authentically artistic. Inabidi utengeneze content za kumfundisha au kummotivate mteja wako. Tengeneza Content ambazo zinamfanya mteja atake kuwa na ushirikiano au akuone wewe ndie mtatuzi wa Changamoto yake.
Naweza kukupatia 4month content plan, link iko kwenye bio!
4. Kuwa Active kwenye Social Media. Zione handle zako kama tv/radio yako ya kutangaza biashara yako. Kila unachopost uwe na mteja akilini. Kuwa na Account social media zote na utengeneze format zinazoendana na kila social media. Tafuta sehemu unakoweza kukutana na kutengeneza Community na wateja wako.
STAGE III MONETIZATION
1. Package ujuzi/huduma yako kuwa data/taarifa ambayo ni muhimu kwa mteja! Hii ndo bidhaa yako ya kwanza!
2. Tengeneza makundi separate ambayo unawapa Huduma yako ya Consulting kwa live chats, phone calls, video etc kwa gharama utakayoweka.
3. Tafuta Njia rahisi ya kukusanya Malipo.
4. LEARN & REPEAT. Jifunze kutokana na matokeo. Consistency! Hapa unaanza kupambana na Adui mkubwa kwenye Maisha ambaye ni Wewe.
Connect na watu, usiwe na kiburi kama mimi.
Hivi vyote tutakuwa tunavizungumzia kwenye Podcast, link iko hapo kwenye bio!.
Tools muhimu Utakazohitaji.
1. Tumia vizuri Facebook Groups kupata wateja,
2. Instagram Stories kufanya RTM,
3. Whatsapp/Telegram Groups madarasa,
4. Stripe & Nala Malipo,
5. Kariakoo China,
6. Capcut Video.
7. ChatGPT Kilakitu kwenye stage ii,
8. Google Products Productivity.
9. Bitcoin Kuficha Mali!
10. Twitter (kuconnect na Mimi, muhimu sana). Lakini pia kushare ideas zako na wins!
11.Notes (au Google keep), kudraft uandishi na mawazo.
12.Lightroom (kuedit picha)
13.4 month Social Media Plan (iko kwenye Bio)
Unahisi Katika Uwanja wako wewe Hizi Hatua Zitakuinua Vizuri? Nieleze Kwenye Comments Nimesahau nini! Una swali gani?
Kama Uhahitaji Huduma yangu (Mimi na wewe Tunatengeneza Digital Brand Strategy yako) link iko in bio.
Kama unahitaji Kuwa mwanafunzi wangu, nifollow, na uwe kwenye Community.
Follow x RT @mcbenvics
#DigitalMarketing #kamuhangire
🌘 Meet Kimi K2.7 Code HighSpeed!
A high-speed mode of our latest open-source multimodal coding model, Kimi K2.7 Code.
⚡️ Up to 6× faster: Around 180 tok/s on coding tasks with median-length inputs, and up to 260 tok/s on shorter-context tasks.
🔷 Rolling out to Kimi Code Beta Program members, Kimi API developers, and Kimi Business users. (Access will remain limited for now due to capacity constraints.)
🔷 No invite needed. Anyone who joins the Beta Program has a chance to get access 👉 https://t.co/eKogsFGJt6
Open intelligence should be instant, affordable, and borderless. We'll continue improving the model and expanding access as more capacity becomes available!
🔗 Kimi Code: https://t.co/uvoSJKyGCY
🔗 API: https://t.co/mzWxjgGO1h
@HillyDillPickle@GodLogic_GL So why is it hard for a muslim to understand God had to come in Human form as a son so he could attonne your sins and as the Holy Spirit so he could renew your mind.
Water, Ice and Vapour = Just water!
@SwahiliBible Inategemea!
Kama muda ni expensive kuliko pesa kwenye hiyo scenario, Mkopo unaweza kuwa msaada mkubwa sana!
Mkopo sio haki, ni huduma, unaweza kunyimwa!
Introducing Claude Fable 5: a Mythos-class model that we’ve made safe for general use.
Its capabilities exceed those of any model we’ve ever made generally available.