JKM inaundwa na wanafunzi wakatoliki wanaosoma katika chuo cha MUHAS. Lengo kuu ni kumleta Kristo katika maisha ya wanafunzi na wataalamu wa afya wa kesho.
MAHAFALI YA JKM 2025
Tumsifu Yesu Kristo...
Tunapenda kuwataarifu rasmi kuwa tanatarajia kuwa na Mahafali ya wahitimu wa JKM tarehe 28 Juni 2025.
Wanajumuiya tunaombwa kutoa ushirikiano wa hali na mali,kwani mchango wako ni muhimu sana katika kufanikisha sherehe hii.
DEAR MCC MEMBERS AND FRIENDS.
Praised be Jesus Christ...
We are honoured to introduce to you the Guest of honour on our graduation Ceremony.
MS. MARSHA MACATTA-YAMBI,
EXECUTIVE DIRECTOR OF THE UNITED NATIONS-
GLOBAL COMPACT NETWORK TANZANIA (UNGCNT)
#JKMgraduation2025
LADIES AND GENTLEMEN.🥳🥳
Praised be Jesus Christ...
We are honoured to introduce PROF. ANDREA BARNABAS PEMBE, FORMER VICE CHANCELLOR,
MUHIMBILI UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES as one of SPECIAL GUESTS in our Graduation Ceremony.
#JKMgraduation2025
LADIES AND GENTLEMEN.🥳🥳
Praised be Jesus Christ...
We are honoured to introduce DR. ALPHONCINA NANAI,
WHO COUNTRY OFFICE TECHNICAL LEAD FOR NCDs as one of SPECIAL GUESTS in our Graduation Ceremony.
💫 Continuing Tsh.15,000/=
💫 Graduands Tsh.30,000/=
#JKMgraduation2025
LADIES AND GENTLEMEN🥳🥳
Praise be Jesus Christ...
We are honoured to introduce DR. FREDRICK LYIMO, HEAD OF RADIOLOGY DEPARTMENT AT MUHIMBILI NATIONAL HOSPITAL as one of SPECIAL GUESTS in our Graduation Ceremony.
Plan to attend!
#JKMgraduation2025#Jkmkuleananakupendana
TUMSIFU YESU KRISTO..😊
Jumuiya katoliki Muhimbili (JKM) imeandaa ziara ya matendo ya huruma.
🏚️NEW HOPE FOR GIRLS.
🗓️ Tarehe 21/06/2025.
⏰ Saa 3:00 Asubuhi.
Changia LIPA NAMBA 9483436 JKM
MAHITAJI: Mchele, unga wa sembe, Sukari, n.k
Nyote mnakaribishwa.😊😊
Jumuiya Katoliki Muhimbili inawakaribisha wanajumuiya wote kushiriki tukio la sala za pamoja kwa ajili ya kusali na kutafakari kwa pamoja kama wakristo tukiongozwa na mada isemayo; THE POWER OF UNMERITED GOD'S GRACE
🗓️ Ijumaa 23/05/2025
⏰ 2000- 2300 Hrs
📍Parokia ya Msimbazi
TUMSIFU YESU KRISTO
JKM kupitia Kamati ya Matendo ya huruma inatualika kushiriki katika ziara ya Matendo ya Huruma ya ndani ya hospitali ya Muhimbili
Itakayofanyika
Mei 17, Jumamosi
Kuanzia saa 2:30 Asubuhi
MAHALI : WODI ZA WAGONJWA WENYE MAGONJWA YA AFYA YA AKILI.
Tumsifu Yesu Kristo....
JKM.....JKM......
Pongezi kwa viongozi wateule wa kamati Kuu waliochaguliwa siku ya leo.
Mwenyezi Mungu awatangulie na kuwasimamia katika utume huu.
#JKmkuleananakupendana#JkmuaminifukatikaKristo
💒Parokia ya Bikira Maria Salama ya wagonjwa-MUHIMBILI
✝️ MISA TAKATIFU YA KUOMBEA MUHULA MPYA WA MASOMO NA UCHAGUZI WA VIONGOZI JKM
🗓️Tarehe 9 Aprili 2025
Parokiani- Muhimbili
⏰▪️MUDA SAA 11:30 JIONI
Pia tutakuwa na ripoti ya fedha kwa mwaka wa uongozi 2024/25.
#mccjkm
TUMSIFU YESU KRISTO...
JKM inatualika kushiriki katika ziara ya Matendo ya Huruma.
Itakayofanyika
📆 APRIL 5, 2024, Jumamosi
📍LOCATION: Watoto Wetu Tanzania, Mbezi Luis
Wote tunakaribishwa
MAHITAJI: Chakula, mavazi, vifaa vya usafi wa mwili na mazingira n.k
✨Kwa yeyote mwenye matoleo binafsi awasilishe kwa viongozi🔥.
📌Au kwa kulipa kutumia Lipa namba yetu; MIXX by Yass 9483436 JKM
Wote mnakaribishwaaaa....
TUMSIFU YESU KRISTO...
JKM kupitia Kamati ya Matendo ya Huruma inatualika na kutukaribisha kushiriki katika ziara ya Matendo ya Huruma ya nje.
Itakayofanyika
📆 APRILI 5, 2024, Jumamosi.
⏰Kuanzia saa 08:00 - 11:00 AM
📍LOCATION: COMING SOON 🔜
🗓️ Jumamosi 08/03/2025
⏰ 0700-1700hrs
📍St. Gasper de Bufallo-Mbezi
Kutakuwa na usafiri kutoka
Chole, Campus na Magomeni. Magari yataondoka saa 1:00 asubuhi.
#JKMkuleananakupendana
MAFUNGO YA KWARESMA✨
JKM inawakaribisha wanajumuiya wote kushiriki mafungo ya kwaresma. Mafungo haya hutupa nafasi ya kutafakari maisha yetu wakristo hasa katika kipindi cha kwaresma.Tutakuwa na tafakari ya mada, njia ya msalaba pamoja na sakramenti ya kitubio.
SEMINA YA IMANI✨
JKM inawakaribisha kushiriki Semina ya Imani
Mada katika siku ya tatu itakuwa ni KATEKESI ENDELEVU na mzungumzaji atakuwa ni PD. DENIS WIGIRA
🗓️ 14 Februari 2025.
⏰ 11:30 - 1:00 Jioni.
📍Muhimbili - Parokiani.
#JKMKuleananaKupendana
Je, ni kwa namna gani kama kijana kanisa linakutegemea? Wajibu wako ni upi katika kanisa? Haya yote yanapatikana katika mafundisho yaliyotolewa na Pd. Dkt Charles Kitima, Katibu Mkuu Baraza la Maaskofu Tazania.
Karibu utazame na Kujifunza mengi.
https://t.co/aaby6OYmGy
#JKM
SEMINA YA IMANI✨
JKM inawakaribisha kushiriki Semina ya Imani.
Mada katika siku ya pili itakuwa ni “CHANGAMOTO ZA VIJANA KATIKA SAFARI YA IMANI" na mzungumzaji atakuwa ni PD. PROSPER KESSY OFMCap
🗓️ 12 February 2025
⏰ 11:30 - 1:00 Jioni
📍Muhimbili - Parokiani
#MCCJKM
SEMINA YA IMANI✨
JKM inawakaribisha kushiriki Semina ya Imani
Mada katika siku ya kwanza itakuwa ni VIJANA NI TUMAINI LA KANISA na mzungumzaji atakuwa ni PD. DKT. CHARLES KITIMA.
🗓️ 11 February 2025.
⏰ 11:30 Jioni
📍Muhimbili - Parokiani.
#JKM#JKMKuleananakupendana