Pastor at the Moravian Church in Tanzania NP, Chair of Northern central District,
Father of the family,
Leader of spiritual growth and Mentorship Ministry
Ukitaka Mungu atembee pamoja nawe maisha Yako yote, mjue sana Mungu katika kumjua yeye atakupa Nguvu ya kulitumikia kusudi.
Yoshua 14:11
Hata sasa mimi nina nguvu zangu hivi leo kama nilivyokuwa siku hiyo Musa aliyonituma; kama nguvu zangu zilivyokuwa wakati huo,.."
Mathayo 19:30
[30]Lakini wengi walio wa kwanza watakuwa wa mwisho, na walio wa mwisho watakuwa wa kwanza.
But many that are first shall be last; and the last shall be first.
Ijumaa Mubarak ๐ป๐
Mathayo 17:20
[20]Yesu akawaambia, Kwa sababu ya upungufu wa imani yenu. Kwa maana, amin, nawaambia, Mkiwa na imani kiasi cha punje ya haradali mtauambia mlima huu, Ondoka hapa uende kule; nao utaondoka; wala halitakuwako neno lisilowezekana kwenu.
And Jesus said unto them, Because of your unbelief: for verily I say unto you, If ye have faith as a grain of mustard seed, ye shall say unto this mountain, Remove hence to yonder place; and it shall remove; and nothing shall be impossible unto you.
Good Day ๐ป ๐
Mathayo 14:31
Mara Yesu akanyosha mkono wake, akamshika, akamwambia, Ewe mwenye imani haba, mbona uliona shaka?
And immediately Jesus stretched forth his hand, and caught him, and said unto him, O thou of little faith, wherefore didst thou doubt?
Good Day ๐ป ๐
Today's word
1 Petro 1:24
Maana,
Mwili wote ni kama majani,
Na fahari yake yote ni kama ua la majani.
Majani hukauka na ua lake huanguka;
For all flesh is as grass, and all the glory of man as the flower of grass. The grass withereth, and the flower thereof falleth away:
Great Day ๐ป ๐
Zaburi 24:1
Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya BWANA, Dunia na wote wakaao ndani yake.
The earth is the LORD'S, and the fulness thereof; the world, and they that dwell therein.
Great Day ๐ป๐