@ikulumawasliano MAMA HONGERA SANA MUNGU AKUSIMAMIE KATIKA MAJUKUMU YAKO NAJUA UNAPITIA WAKATI MGUMU SANA ILA TAMBUA NDIYO YANAYOKUPATIA TASWIRA YA MUHURA MPYA WA URAIS WAKO USIVUNJIKE MOYO WEWE NDIYO RAIS WA WATANZANIA WOTE
@mangale_pa1234@Sativa255 Sina Polisi wa Wa siasa mimi nimesimama sehemu 1 tu hatutakiwi kufurahia ubaya wowote unaomfika mwanadamu yoyote bila kujali itikadi zake zozote matatizo uweza mfika Mtu wowote ikiwa Mungu kataka yamfike
@akifuwanzagi@Sativa255 Wote wanapatwa na matatizo katika binadamu wenzetu hatutakiwi kufurahia bila kujali itikadi zetu Dini zetu vyama vyetu ukabila na mfano wake, Na haya matabaka ndiyo yanapelekea leo WAPALESTINA wanauwawa na Ulimwengu umekaa kimya
@KaziZeze@Sativa255 Hatutakiwi kufurahia kifo bila kujali aliyekufa ni ccm chadema act nccr kifo ni imaya Mungu hakuna sababu ya kufurahia kwani hao Polisi mnaowachukia wote ni maadui zenu hakuna marafiki zetu?
@_yourBoyli4 HAHA ๐ CHIZI KWELI WEWE MULIMZALISHA KUTOKA HOSPITAL GANI? PALE UTOPOLO ALIKUJA KUFANYA MAZOEZI ALIKUWA MPITA NJIA PAMOJA NA MAJIN MLIOMTUPIA HAHA ๐