@millardayo Watu weusi nani alituloga et anamwita yesu amsaidie vita aianzishe mwenyewe alafu anaita upepo uje kumsaidia dah mababu walituingiza Cha kwa kukubali Iman ambazo azina nguvu unaita upepo na hauna nguvu ya kuuamrisha ufanye kazi
@Atheistkitaa@ze_mandevu Masikin anawezaje kuoa wake kumi au kulisha watu 1000 inakuingia akilini et yesu alikua masikin au Mohamed uliwah kuona wap masikin anaongea mbele za watu wakamsikiliza waangalie wale wahubir wenye spi kama kuna Mtu anawasogeleaga
@waziri_mbeya98 Nikwel kabisa ilo alipingiki mpka aje kulipa ndio tutamtambua kifup ni kwamba makubaliano ya wazazi wa pande zote ni muhimu mahari shida sana
@Hunterjay12345 Una uhakika na mbona yupo mpka usiku huu apo kama uyo mungu angekua ana mpango nae siangemsaidia auze mchana amalize mapema akalale nyumban kwake hakuna msaada wwte unaotoka mbinguni acha kujidanganya wenzako Ibadan inaisha saa tatu usiku wanalala ww wamekuambia usubir
@Jambotv_@SuluhuSamia Chifu gan ana jina la kizungu na kiarabu Tena ana dini hayo sio matambiko nimaigizo na hayawezi kufanya kazi Bora wangefanya Dua tu na kusali kama majina yao yanavyosema na Iman waliyopandikiziwa kwanza mbuz waila hachinjwi ivyo
@_zack255@cyancute Una namba zake unitumie niongee nae au kuna sehemu unafamu alipo uniunganishe nae maana Nina maswal mengi sana ya kumuuliza tafadhal
@LuhagaMpina Kubali tu bro maana umeshaanza kutaja mbingu na mungu na wakati wenzio hawaogopi kitu ambacho hakipo kwenye uso wa Dunia jifunze kwa waisrael mnaowaita taifa teule