Nirahisi kujitokeza nakuchukua sifa iwapo Simba itashinda, lakini mashabiki wa kweli ni wale ambao wanajirudi na kushangilia Simba pindi inapopita katika kipindi kigumu. Mashabiki wa kweli wanakuwepo wakati mzuri na wakati mbaya. — Mo
I will never forget the love and prayers from my fellow country men and africans during my kidnaping ordeal. I am forever indebted to my beloved country Tanzania and to Africa. I will do my best to follow what Imam Ali once said “Do not disappoint the one whose hope lies in you”
Mafanikio makubwa tuliyopata mwaka 2018.
1) Kushinda ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara.
2) Kufuzu hatua za makundi za Ligi ya Mabingwa barani Afrika.
3) Kubadilisha mfumo wa uendeshaji wa klabu yetu kuwa wa kisasa zaidi.
Kwaheri 2018
Karibu 2019
Ukubwa wetu usiishie kugombea ubingwa wa Tanzania tu. Lazima tukapiganie mataji ya Afrika, ambayo ndiyo heshima inayostahili nchi yetu, pamoja na timu yetu ya SIMBA.