@BuriloD@JayleenRickie Wanawake wanajiona wao wako safe sasa sisi hao wanawake wengi tunaotoka nao kwani wote wako single? Maana hata kama akiwa na mtu bado naye anatamaa tu 😡🤬
@JayleenRickie Wanawake wanavyopenda kujipa u innocent, et walikuwa nawezaje kidate na wanawake wengi...wakati hii midemu inadate na wanaume kibao....hv kizaz cha Vladimir Putin ni fifty fifty, wanaume wanadate na mademu kibao na mademu hvohvo wanadate na wanaume kibao...usijifanye hujui wewe
Watu 19 wa Kijiji cha Milundikwa kilichopo Wilaya ya NKasi Mkoani Rukwa wamepigwa na radi wakiwa shambani kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha na kusababisha vifo vya Watu watano ambao wamefariki papohapo.
#MillardAyoUPDATES
@vee__victoria Huwa naichukia sana hii kauli ya kumpa...wtf...mnapeana sio unampa....kwani wewe ukimpa halafu wewe unaenda kulala au mnashiriki pamoja.....