Hongereni sana TEC kwa kusimama kwa ujasiri, weledi na uaminifu uliotukuka kwenye nafasi yenu kwa jamii hasa katika kutetea haki za wananchi za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Hakika taasisi yenu imekuwa baraka kubwa kwa taifa letu. Mungu awabariki sana.
#BREAKINGNEWS
Cherry Hollister amepatikana akiwa salama Cherry baada ya kunusulika kuuwawa na watu waliovamia nyumbani kwake wakiwa wamevalia kininja na kumkosa kisha wauaji hao wakachukua CCTV Camera na kuondoka nayo.
Cherry alilazimika kuzima simu zake zote na kupoteza kabisa mawasiliano na ndugu zake kwani agizo la watu waliokwenda kwakwe ilikuwa ni kutoa roho yake yeye na mumewe.
Ninathibitishia kwenu Cherry yupo salama na atakuja hewani Kesho kutwambia ilikuwaje na amepitia magumu gani, mimi nilivyomsikiliza stori yake imeumiza sana Moyo wangu, kweli watekaji wanapashwa kukomeshwa NI mashetani.
Mh.JOHN HECHE NI MTU MWEMA NA MPIGANIA HAKI WA KWELI.
Ndugu Watanganyika Msidanganyike. Nimefanya kazi na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John W.Heche kuelekea uchaguzi Mkuu wa oktoba 2025 haswa baada ya kupata habari kwamba CHADEMA ndiyo wanaokwamisha Mazungumzo.
Nilibaini ni mtu mwema sana,anauependa mazungumzo yenye nia njemav na CHADEMA ilishiriki kwa Ukamilifu.
Tuliweza kukutana pande zote ikiwemo ACT,CUF pia na Madhehebu ya Dini kama CCT, TEC, BWAKWATA,Shura ya Maimamu,TAMWA,TAWLA THRDC na Watu Mashuhuri.
Kumbukeni hata kushambuliwa kwa Dr Charles Kitima alishambuliwa akiwa kwenye jukumu kubwa hili la kutafuta suluhisho na kushambuliwa kwake hakuwezi kutengwa na nia ya ukwamishaji hatua za pamoja zilizokiwa zikiendelea.
Muda wote CCM ndiyo walikataa mialiko na hata tulipotumia gharama kubwa sana kutuma wajumbe na kuongeza muda ili tuweza kuwaaccimodate muda zaidi kukutana nao walikataa.
Lengo letu lilikuwa jema kabisa kuliepusha Taifa na vurugu zile za uchaguzi kwani utafiti wetu ulionesha nchi imevimba.
Kwakushirikiana na THRDC tuliomba pia kukutana na Tume ya Uchaguzi nayo ilikataa kwa kisingizio cha kutokuwa na muda .
Kama kuna mtu asiyependa Haki Ukweli na Uwajibikaji ni CCM na vyombo vyake ambata .Huyu hapendi kuzungumza kwa kuheshimu wengine akija kwenye mazungumzo mara nyingi huwa ni kwa hila au mpango wa kukwamisha mbeleni rejeeni kutekwa na kuharibiwa kwa mchakayo wa Marekebisho ya Katiba na kuibuliwa kwa Katiba pendekezwa.
HAKI,UKWELI NA UWAJIBIKAJI VITALINUSURU TAIFA.
BAK MWABUKUSI.
Wasomi wa africa tunasoma
Ili tu tupate hela, iwe kihalali au kusipohalali .Kusoma kwetu sababu kubwa ni fedha, hakuna kingine na ndo maana hatuna msaada mkubwa kwa jamii zetu.
Wazungu kuanzia zamani ilikua ni kuvumbua, kutengeneza mifumo,kuacha legacy na kubadilisha maisha. Sababu kubwa sio fedha, kwasababu ata bila elimu unaishi vzuri.
Siku moja huko mbeleni tutajilaumu sana sana sana kwanini hatukuungana wote kwa pamoja kukiondoa kikundi hiki cha watu wachache sana!!
Yes you heard me right, ni kikundi cha watu wachache sana ndicho kinacho-run hii nchi na kufanya maamuzi yote haya na ukatili wote na ufisadi wote huu!!
Yes wanawashirikisha na raia wenzetu walioko kwenye nafasi fulani kutekeleza agenda zao….but wanaoRun nchi ni kikundi fulani tu cha watu wasiozidi hata 20!!
Tutajilaumu sana siku hiyo kwamba kwanini watu milioni sabini tumeweza kurubuniwa na kulaghaiwa,kudanganywa kuteswa, kuibiwa for years na kikundi tu cha watu less than 20!!
Tutaanza kusema tunge…tunge…tunge!!
Tungejua tungefanya hivi, tungejua tungefanya vile!!
Na hata tutakapowin kuwaondoa siku hizo, wanaweza wakawa wanatucheka na kutukebehi kuwa wametutesa for years 20…30…40, wametutumia walivyotaka, wametuua wametuibia, wamekula goodtime kuanzia ujana wao, huku sisi tukiishi kwa dhiki kubwa kuanzia utoto wetu!!
So wameshazeeka sasa hata kama tumewawin its obvious mwisho wao pia wa kuishi umeshafika!!
Tutajilaumu sana tulikubali vipi kikundi kidogo kituzidi nguvu na uwezo kwa miaka yote hiyo!!
Moral of the story…..THE TIME IS NOW!!
Hii inaumiza sana Dickson Tadeus Sulusi alimaliza MWAKA akiwa na matumaini ya kuanza MWAKA MPYA salama akamshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai kisha akapost KWENYE account yake ya Tiktok, Dickson hakujua kwamba mtoa roho sasa yupo Chamwino.
Dickson ameuwawa kwa kipigo cha jeshi la Polisi alivunjwa Taya ya juu na kupigwa KITU chenye ncha Kali kifuani na kichwa, Baada ya MAUAJI haya OCD wa TARIME aliwambia awake LAKI 3 Familia wakanunue jeneza.
Unakatisha maisha ya Kijana mdogo kama huyu KWENYE NCHI YETU alafu unatama tukae kimya kamwe hatuwezi kunyamaza
#MsiogopeTutashinda
Despite Meta removing me simultaneously from all of its platforms, including my personal account (@mangekimambi80) with over 3 million followers, my news media account (@wananchiforum) which reported news the Tanzanian government did not want covered along with my Facebook and WhatsApp accounts (+1 424-537-3057), the truth continues to find its way out.
That WhatsApp account was trusted by Tanzanians as a secure channel through which they discreetly shared videos documenting the Tanzania massacre where over 10,000 Tanzanian were killed by CCM led government. Even now, Tanzanians are still finding alternative ways to send me new footage so it can be shared with the world.
@POTUS@SenateForeign@marcorubio @USStateDepartment, @elonmusk, please help us regain access to these accounts that were unjustly taken down to suppress Tanzanian voices, Tanzanians who are already being oppressed by their government and please change the laws not to allow 1 company to own multiple crucial social media platforms. I was literally removed from Facebook, Instagram, threads and WhatsApp in the same hour simply because 1 company owns all these platforms.
This video was sent to me this morning. It shows a young man who later died from an infection after fleeing the hospital when police began raiding medical facilities, forcibly removing wounded patients from their hospital beds and taking them to mortuaries, where many were left to die. For more videos of the Tanzanian massacre please scroll down this page.
@AfricanHub_ I bet he was on sabbath , throwing a party with his mates and angels somewhere in heaven , for it is written a day in gods eye is a thousand years and so in between the thousand years was the colonial era