There was this game where Rooney got an injury and had to be subbed off and the commentator said, "fear not Man United supporters at least cause look who is about to replace him."
Some moments can never be recreated.
@polo_kimanii Kuenda mission one year alafu unapata bibi na mimba inaweza fanya ujiulize maswali mengi mno. Lakini pia mwanaume kama uko na audacity ya kugongea KDF inafaa ujiite kamkutano.
Kama kuna watu nahurumianga sana mpaka karibu nitokwe na machosi ni hawa jamaa yetu wa KDF. Yani pande moja unahepa makombora,unapigania nchi,bibi naye umewacha nyumbani anapigwa makombora na rasta wa movie shop bwana. Mwanamke ata hajali umepiga training 6 years, unapiga mawe ya 9inch heady inakatika,she still cheats on you mercilessly. Most KdF men are rasing children that are not theirs. Unarudi kutoka kismayu unapata mtoto anaitwa stanley,anakuambia ulimuacha na mimba na alimuita stanley sababu pia babu yake anaitwa namna iyo,kumbe mtoto ni ya stano caretaker wa next plot bwana
And this happens globally. Service men kugongewa? One time it was so rampant in china,the government had to intervene. Serikali ikasema ukipatwa na bibi ya mtu ya CDF,china defence forces,unaingiswa jela miaka nane. Juu sasa watu walikua wanakataa kuingia army,wanaogopa kutwangiwa bwana. Mimi ata nashukuru mungu nilianguka urine test kule kiganjo,sahii hii bibi yangu na vile ni keupe wangekua wamenifanyia mbaya sana aki vanee
Khabusie!