Wadau nko hali mbaya nko na deni ya fuliza,mshwari,equity,KCB mpesa,okoa jahazi,mama mboga, landlord na hata msichana ya wenyewe sijalipia and I'm jobless.
@carltonkitheka1@Donkalosnai You forget you are not the only customer ax π³οΈ Kuna wengi wako Na doh ukishidwa kufika Bei Chukua mat ama ununue yako