Kumfanyia Mengi mazuri haimaanishi Hatokusaliti, Na unaposalitiwa usipoteze muda Kujiuliza Umemkosea Wapi? Kipi Hujamfanyia, Wewe Songa mbele kwasababu Binadamu ndivyo Walivyo, Kumbadilisha mtu tabia yake Ni Ngumu !!
Juweni ya kua macho ya mauti yanakuelekeeni na yapo karibu, kama kwamba makucha yake yamekwisha washika, na mambo ya kufadhaisha na shida za yaliyotahadharishwa zimekuzongeni.(Maneno ya Imam Ali a.s katika Nahjulbalagh khutba no 202)
Sheria Za Msingi Za Kuishi Pamoja!
.
1. Ukifika Sehemu... Salimia
2. Ukiondoka Sehemu..... Aga
3. Ukisaidiwa....... Shukuru
4. Ukiahidi...... Tekeleza
5. Ukikosea.... Omba Msamaha
6. Kama Hujaelewa... Uliza
7. Unacho... Gawa Kwa Wengine
8. Huna.... Usione Donge
Retweet👇