Misingi ya kufanikiwa
1. Omba Kibali cha Mungu (God favor)
2.Usikate Tamaa, Muangalie Mungu ( Never Give up)
3.Usikubali kudharauliwa na wewe kujidharau
4.Omba Mungu akuinulie watetezi
5.Jifunze njisi ya kusamehe ( Power of forgiveness )
6.Furahia mafanikio ya wengine
Yer 17:5-7 SUV
BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu,Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA.Maana atakuwa kama fukara nyikani,Hataona yatakapotokea mema;Bali atakaa jangwani palipo ukame,Katika nchi ya chumvi isiyokaliwa na watu.
God's perfect timing does two things: It grows our faith as we are forced to wait and trust in God and it makes certain that He, and He alone, gets the glory and praise for pulling us through."My times are in Your hands..."Psalm 31:15. At the right time,God will provide your need
@SuluhuSamia Mungu awe nawe, asimame nawe, akutete siku zote, Baraka na Kibali chake vikawe juu yako, ukawe dira na tumaini la familia yetu kubwa Tanzania, kupitia kwako pakawe na tumaini jipya machoni kwa nchi yetu.
Nawashukuru wote kwa salamu za pongezi, nawaahidi ushirikiano wangu na ushirikiano wa Serikali yangu katika kuwatumikia Watanzania na kwa faida ya Tanzania.
Siyo rahisi, BARABARA ni ngumu yenye milima, mito, mabonde, wanyama wakali na misitu ya kutisha, kwa mbali nasikia sauti ... “ USIOGOPE MWANANGU” ... #NakazaMwendo