@Imblackhandsome@SimbaSCTanzania Tofautisha bonanza na ligi maana kwenye sub players wanakuwa kwa idadi ambayo n less or equal to 5 kwahyoo huwezi kuwekaweka unaenda kwa mahesabu lkn Leo ambaye yupo bench anacheza haijalishi maana hakuna idadi ya wanaoingia
@ikulumawasliano Nafasi moja watu wawili tofauti katika Nafasi ya Naibu Waziri wa Mambo ya Nje kwa ushirikiano wa Africa mashariki hapo vp idara ya habari!!
@Ludovicsebastin Tanzania umetumia uwanja wa Taifa yaan kwa mkapa sasa swali je na Kenya unahisi huo ni uwanja wa Taifa kama unataka kulinganisha weka viwanja kama vya manungu kwa mtibwa na kiwanja cha JKT Tanzania