❍ Hiki kitu amesema hapa GIVEN unaweza tengeneza Simple Custom mini- AI or WebAPP yako mwenyewe ya kuPredict mikeka kwa dk kadhaa tu.
Hapa nafikiria chap chap nahitaji Tools 3
1. ChatGPT
2. LOVABLE AI
3. Simu au PC
Sio lazima ujue kuCODE
Shuka na hii THREAD🧵
Yajue mashirika/jamii za siri (secret societies) zenye nguvu zaidi duniani.
Duniani kunawatu wanafanya maamuzi kwa niaba ya watu wengine. Wao ndio wanaocontrol dunia lakini wengi hawajulikani. Na wale tunaohisi wanacontrol dunia maranyingi ni puppets tu. Basi tufatane tufahamu kuhusu jamii za siri zenye nguvu zaidi duniani🧵🧵⬇️
11. Hashashin (assassins)
Jamii hii ilianzishwa katika Karne ya 11 huko Persia (Iran ya leo) na Hassan-i Sabbah.
Walikuwa wanamgambo wa siri wa Kishi’a Ismaili, maarufu kwa mbinu zao za mauaji ya siri (assassinations) dhidi ya maadui wa kisiasa na kidini.
Walitumia kuingilia ndani ya miji ya adui zao kwa siri, kujipenyeza kama watumishi au walinzi, na kuwaua viongozi kwa ghafla na siri.
Neno "assassin" linatokana na jina lao, na walihofiwa sana na Waislamu na Wakristo wakati wa Vita vya Msalaba (crusade).
Wanadaiwa kutumia dawa za kulevya kama hashish wakati wa mafunzo ya wapiganaji wao na kuwafanya wawe tayari kufa kwa ajili ya jamii yao.
Jamii hii iliharibiwa na Wamongolia chini ya Hulagu Khan mnamo 1256, lakini mbinu zao bado zinahusiana na njama nyingi za siri duniani na inasemekana hashashin wapo ila kwa kificho sana .