@enamalisa Unaweka sehemu ambayo unakaa mara nyingi, lakini AC siku hizi bei zake ni ndogo sana na kwa hali hii ya joto la sasa ni bora ukafunga kote. Karibu sana kwa mahitaji ya AC tuko hapa DFM Mall. Tutakushauri ni AC gani ufunge na za gharama nzuri with high perfomance @enamalisa
@Sharb84@mnazi36 Sijaelewa ulichokataa na ulichoandika mimi nilikurekebisha kuhusu axle load ya double kua ni 18t mpaka 18.9t na sio 18.5t. GVM zilikua sawa
Btw mbele ni 8t mpaka 8.4t na sio 8.5t na tandem inasoma 26t GVM na sio 24t
@Sharb84@mnazi36 Maelezo safi kabisa ila yana makosa kidogo, ili elimu iwe sahihi kabisa ni hivi
Akiwa na double ataweza kubeba tan 18 mpaka 18.9(plus 5%) Kwahiyo ataongeza tan 3 kwenye GVM na 3.15t kwenye axle load.
@DMsangii@Bejankabes@Kirikuu20 Kwanza kwenye Biblia ni mweupe, nakushauri unge stick na kitu unakifahamu. Hicho kitabu umeweka kinaelezea mwezi wa6 wa mimba ya Elisabeti mke wa Zakaria na sio mwezi wa 6 kama mwezi. Kasome tena kuanzia mwanzo uzuri kitabu chetu ni kiswahili USIKURUPUKE.
@Thesmartofficer @dilunga_kz @privaldinho Kusoma hujui au hujaielewa hiyo sheria. By the way we sio football fan coz usingeandika ile comment at first place.
@Thesmartofficer @dilunga_kz @privaldinho Inamana unashabikia mpira na hujui rules zake? like natakiwa niweke hiyo rule hapa 😀😀. Haya kapitie rules/laws za football no11