Zaidi ya yote tume ya uchaguzi haikuweza kukusanya matokeo yote ya vituo vya upigaji kura.
Mtandao ulikuwa umezimwa kurahisisha hilo.
Katika vituo vingi uchaguzi uliharibika kwa vituo kuvamiwa, masanduku ya kura kuporwa na kuchomwa moto.
Ilikuwa si rahisi watu milioni 32 kupiga kura.
Ukweli…
Naam!
Ukweli ni familia ya vitu halisi, na matukio halisi kwa uhakika.
Hakukuwa na uchaguzi uliofanyika tarehe 29/10/2025; Ulisusiwa na wapiga kura
Hakukuwa na wapiga kura milioni 32 waliopanga foleni kwenye vituo vya kupigia kura, ghasia za siku hile hazikuwaruhusu.
29th Oct 2025 Zinazuka vurugu kubwa waandamanaji wakipinga uchaguzi usio huru na haki
Pamoja na madai mengine, waandamanaji wanataka uwajibikaji wa serikali dhidi ya matumizi mabaya ya madaraka kwa viongozi kujilimbikizia mali
Maandamano yanapata upinzani unaoleta maafa makubwa
𝙏𝙧𝙪𝙩𝙝 𝙞𝙨 𝙩𝙝𝙚 𝙗𝙤𝙙𝙮 𝙤𝙛 𝙧𝙚𝙖𝙡 𝙩𝙝𝙞𝙣𝙜𝙨, 𝙚𝙫𝙚𝙣𝙩𝙨, 𝙖𝙣𝙙 𝙛𝙖𝙘𝙩𝙨.
Ukweli ni maelezo ya vitu na matukio halisi kwa uhakika.
Bado ukweli unaweza kutafsiriwa kama 𝐀 𝐬𝐢𝐧𝐜𝐞𝐫𝐢𝐭𝐲 𝐢𝐧 𝐚𝐜𝐭𝐢𝐨𝐧, 𝐜𝐡𝐚𝐫𝐚𝐜𝐭𝐞𝐫, 𝐚𝐧𝐝 𝐮𝐭𝐭𝐞𝐫𝐚𝐧𝐜𝐞
Yaani, Uthabiti wa tendo, tabia na tamko
Leo zinatimia siku 25 tangu kutokea mauaji ya haraiki yaliyosababishwa na maandamo siku ya uchaguzi mkuu wa tarehe 29 Oct 2025
Katika siku hizi 25, tumeshuudia mengi yaliyotulazimu kurudi nyuma na kujiuliza nini ni maana ya ukweli.
Naam!
𝐔𝐳𝐢👇
𝐓𝐇𝐄 𝐓𝐑𝐔𝐓𝐇
Afisa yule akaanza kufanyia kazi zile taarifa
Huku Adinani akikimbilia mafichoni Mwanza
Kachero yule akaanza kuwa anapiga simu baadhi ya maeneo ili katika ufatiliaji
Then the involved caught the wind
Inakuaje mtu anaacha nyumba wazi kusubiri windo?
Baki na mimi
Adinani baada ya kunusa yote yaliyotokea kwa wenzake akaona usalama wake ni mdogo sana
Kwanza akamtafuta mmoja wa afisa tithi proper kabisa akaanza kuungama ukweli wote
Akamweleza hadi jinsi wenzake walivyokuwa wanahamishwa mkoa hadi mkoa wakipukutishwa na kuexpire
Inaingia akilini mtu atekwe, aporwe pesa, kisha anapata na watekaji wakutene tena sehemu ili wamteke tena na kumpora?
Ni vipi gari tajwa mpaka leo linaonekana kuwa barabarani huku likipigwa faini na mlipaji ni Assistant Inspector wa Traffic HQ kwa jina la Saburi Chutto?
Kila baada ya kuridhika kuwa mtu ameshakamuliwa hadi senti ya mwisho, alikuwa "akipotea"
Sasa akabaki msiri wa polisi
Naam!
Kijana Adinan Hussen Mbezi
Kuwa ndiye aliyeuza mchongo, akala chake akaingia gizani
Wale survivals wakaanza kuminywa waeleze wapi walipoficha pesa zao za mgao
Kwenye issue hii wakawa wanahamishwa kituo hadi kituo huku wakipukutishwa pesa za Mahaz
Hadi ndugu wa wale marehemu wawili hawakupona kwenye hili wakipewa misukosuko wataje walikoficha pesa ndugu zao
Watatu waliobaki wakasalimu amri
Ikabidi upande wa CRT usomeshwe
Kuwa kazi ile inatakiwa iwe "off records"
Ina maslahi above their are pay ranks
Then, the doctrine of "you can't fight them, join them" came into play
Hapa ukafata mchezo wa kimafia zaidi
Ukaanza msako wa nyani ambao siku zote Ngedere haponi
Wategaji wakilifukuzia gari linalowatoroka
Kikosi cha doria cha CRT kilichokuwa Masaki kikiunga tela
Toyota Crown ikawekwa kati maeneo ya Muhimbili
Ikatupiwa vyuma na watu wawili kati ya watano waliokuwa ndani wakaexpire
Haikupaswa kuwa vile!
Lilikuwa ni tukio la gizani lililopaswa kushughurikiwa gizani
Kazi chafu kwa chafu
Kitendo cha wategaji kuongea redioni kuwa windo linakimbia mtego kikasikiwa na kila askari aliyewasha na radio usiku ule
Kikiwemo kikosi cha CRT kilichokuwa doria Masaki
Baada ya kushtukia kuwa wapo mtegoni, majamaa wakawasha gari lao na kuondoka eneo la tukio kwa speed kubwa iliyowachanganya wategaji
Wategaji kwa kupagawa kuwa wako mbioni kuachwa kwenye mataa, wakafanya kosa moja la kiufundi
Wakaripoti tukio la kukimbiwa kwa njia ya radio
Wale majamaa waliopiga mpunga wa jana yake walikuwa wa kwanza kuwasili eneo la tukio daraja la Tanzanite kuonana na Awadh
Walifika wakiendesha ile Crown ya Silver yenye usajili T 146 DPY
Askari ni askari!
Majamaa wakiwa eneo la tukio wakashtukia Maaz amewa "set up"
Naam!
Yalikuwa ni mawindo kinzani dhidi ya maafisa waliotakiwa kufanya kazi moja tu na si nyingine
Kazi ya kumkamata Maaz na kumuwajibisha
Lakini leo maafisa hawa walikuwa wakiwindana upande mmoja ukitaka kumlinda Maaz, huku upande mwingine ukitaka kumkamua Maaz
Maaz alishauza mchongo kwa matop kuwa jamaa wamemkamua jana yake na ana miadi ya kuonana nao
Akataja muda na mahali pa kukutania
Then, the devil day and hour arrived
Huku mtego ukiwa umeandaliwa na maafisa watiifu kwa Maaz, dhidi ya maafisa wenzao wa "buu baa"
Chafu kwa chafu
Maaz was as well very connected na top rogue officers
Mtakuja kuwajua wenyewe hawa top rogues kadili mnavyoendelea kutililika na mkasa huu kupitia kauli zao na comparative analysis
So majamaa yakafurahia ulaji huku wakijipanga kesho yake majira ya saa 4 usiku waonane na Maaz
Kwenye mgao ule wa mwanzo, msiri akalamba bingo la kutakata
Waungwana wakajipanga kesho yake wakamalizie kiporo
This was a very fatal and stupid idea
Kwa mtu yeyote makini angetakiwa kutokuwa na hata wazo la kumrudia mtu uliyemjeruhi jana yake
Ni lazima ajibu shambulizi
Kama unashangaa, nami nashangaa lakini pia sio uongo
Kuwa Maaz alikuwa akimiliki milioni 700 Cash jioni ile
Hawa majamaa ambao walikuwa ni watano kwa idadi kutoka idara tofauti wakaona isiwe tabu
Wakafinya ile 700 kwa miadi waonane kesho kumaliziwa mgao
Naam!
Mpaka majira ya saa moja jioni, Maaz alishaafiki dau lile lakini akitoa ombi kuwa kwa jioni ile kuna kiasi kidogo kitapelea
Kuwa anaweza kutoka Mil 700 na 300 anaomba amalizie kesho yake
Ifahamike hii transaction ilikuwa ni ya kufanyika kwa njia ya Cash