Umeipiga vita viliyo vilivyo vizuri Mwendo umeumaliza, iman umeilinda.
Mungu akupe pumziko la milele upumzike kwa aman mdogoangu.
Nakupenda na ntakukumbuka daima.
Rest easy my brother
#ConsciousCommunity
PROSPER SIMON MASATU
#Reallestconscious
9/12/2000-17/11/2019
21/11/2019
Sabab kunawasom weng wanaishi maisha duni kuliko wasio na elim na mifano hai tunayo.
Hivyo basi amini, jivune na furahi kwa kile ulichonacho. Maisha n folen yazid sogea kila mtu hupata stahiki kwa wakati wake🙏
Ukiwa jobless akili inakwambia ”Nanii elim yako haijakisaidia yaan umepoteza mda wako” waanza kuwaza ile ada ningepewa kama mtaji ningekua mbali .Hujapoteza mda my frnd deep down usingesoma wewe saiv usingekua ulivyo usingeenda shule sijui ungekua mtu wa aina gan
👇👇 👇👇👇
Hujapoteza japo elim yuko yaeza shindwa kuwa pesa lkn yaeza kukupa nidham ktk utaftaji wa izo pesa laa ikakutofautisha na jamii ya wasio kuwa na elim sijui unanielewa?
Sisem kwamba kukosa elim ni tatizo au niudhaifu NO!
Kindly RT
Habari njema kwa watu wanaohitaji miti ya mbao kwa furniture nzuri na mbao kwa ajili ya uundaji wa meli,Jibu ni miti ya mitiki
-Inapatikana TANGA-HALE
-Kwa Tsh 400K kwa mti
-contact 0767160376 or DM us kwa maswali zaidi,
#TEAKWOODS kwa bidhaa bora na za uhakika