Biashara ni Vita Bila Risasi
Na kama huamini, njoo Kariakoo saa 4 asubuhi.
Hapa hakuna mtu wa kukuhurumia. Hakuna aliye salama.
Mteja wako leo anaweza kuwa wa mpinzani kesho — sababu ya punguzo la mia tano tu.
🧵Thread: 👇
Wapende sana watoto wako maana wakikosa upendo leo, watautafuta kwa maumivu wakiwa watu wazima.
Mtoto asiyeonja upendo nyumbani, hukua akiuomba kila mahali hata pasipofaa. Na wala hatojua kuwa anauomba.
Nikiwa Tabata dampo kwa wataalamu kutafuta spare moja hivi, ninashuhudia ajali moja mbaya sana mteremko wa pale kati kuangalia vizuri gari imepinduka juu chini.
Kwa uharaka tunasogea kusaidia manusura au kushuhudia nini kitaonekana ndipo wanatoka watoto watatu na dereva wakiwa wazima bila hata mkwaruzo kwenye ngozi.
Hiyo machine inaitwa BMW X-3 ,2014 ni baada ya kuingalia kwa umakini. Nikakumbuka wadau waliomba gari ya budget ya 20M ,nikasema isiwe noma niwaletee hii.
Ni bora kurudisha upendo uliopotea kuliko kutafuta mpenzi mpya! Nitakupa sababu 5
1. Mmeshajuana na kuna mshikamano wa kihisia
2.hakuna uhakika kuwa mpya atakua bora
3.historia yenu ina thamani ya kipekee
4.kujifunza kushinda changamoto hujenga ukomavu
5.kupoteza muda kuanza upy
Mimba Inayoua Mtoto Bila Mama Kujua: Siri Inayofichwa Na Damu Yako. 🩸
Wanaume na wanawake wengi wanaishi bila kujua kundi la damu zao – hadi wanapopoteza mimba ya pili kwa maumivu makali yasiyoeleweka…
—Unajua kundi lako la damu?
—Na la mwenza wako je?
—Ni RHESUS POSITIVE au RHESUS NEGATIVE?
Endelea kusoma, huenda ukaiokoa familia yako: Open Thread:⤵