Tarehe 01 January 2023 Panapo Majaaliwa ya Mwenyezi Mungu nita yakumbusha Masikio yenu Sauti yangu tena 🙏 Mmenitoa Mbali watu wangu bado naamini sanaa katika Muziki wangu...Niliapa sinto waangusha Naamini hamto Niangusha pia...#newyear#newmusic#newsound asante producer DEBEE
AHSANTE SANA KAKANGU MKUU WA MKOA WA 'SIMIYU' MH KENANIKIHONGOSI...KWA MUALIKO WAKO WA KUNIITA KUJUMUIKA NA KUWAPA BURUDANI WAKAZI WA SIMIYU KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI LEO
03 March 2025...KAZI IENDELEE
PICHA & MATUKIO 👉🙏🙏🙏
DADA ZUHURA (ZUCHU) NI NAMBA GANI INAYO POKEA FWEDHA TUKUONGEZEE PALIPO PUNGUA KWAAJILI YA INDUSTRY??? VIDEO YAKO SIO TU KALI BALI NI KUBWA SANA...HONGERA
USINGIZI UTOKE WAPI😭 OOOH YARABI...EEEEH MWENYEZIMUNGU 😭😭 AAARGH ALLAH WEKA MKONO WAKO MOLA WETU...WEWE NI MWENYE MAMLAKA YA ALLAH...WE ARE PRAY FOR KARIAKOO...HII NI SAA TISA WALLAH HAKULALIKI...
(MY MOOD)
LEO NATAKA NIANGALIE MUVI MOJA YA KIBONGO KALIIII...NAOMBA NITAJIE JINA LA MUVI KALI UNAYO IJUA HAPO CHINI NA MUIGIZAJI GANI AMECHEZA HUMO NDANI...NITA ITAFUTA NIITIZAME LEO...🙏
Ila Mbosso😭 sahivi kila Uki gusa status ya Maex zetu unasikia Ulijichanganya na nilikupenda sanaa walio kudangaya ndio walio kupondhaa Diha😒 Sema bado tunapendwa Huwezi Muita Ex wako Diha🤗
NI MIAKA MITATU (3) YA
*MEDA BARBERSHOP*
Kuna Haja ya Kusherehekea Pamoja na wadau/wateja tulio kuwa Sambamba kwenye Mafanikio haya madogo 🙏 follow @meda_barbershop_tz
Wasanii Tukumbushane tu jambo kila Mbuzi atakula urefu wa kamba yake...Efforts za Diamond zimeleta mengi sana kwenye Hii Tasnia yetu...Tusifadhaike,Tufanyeni kazi na kila utakacho kiwekeza ndio utavuna...Msishindane na Diamond mpeni Heshima yake na Kazi ziendelee...
Neno langu la leo👉🏼Mchawi wa Mafanikio yako Ni wewe mwenyewe...Hakuna alieumbwa Tajiri Duniani...Amua,Amka nenda kapambane Ndugu yangu...sawa pesa sio kila kitu ila Umasikini Mbaya sanaaa📌 #Medawallpaper#medabarbershop#medawoodsfurnitures
Tu throwback kidogo alhamisi ya Leo turudi Nyuma kidogo...Leo tumfahamu Meda kidogo kupitia Google inasemaje kuhusu Meda 🙏 na tuendelee kupambana tusikate tamaa
Leo Nakuonesha Picha zangu ambazo nimekuwa nikizipenda Sana Muda wote na kila nikizitizama Zina ongea kitu kila picha na wakati wake kiukubwa Kwenye Moyo wangu,utanambia umeipenda picha gani pia nitakwambia inaongea nini kwangu...SWIPE then niulize🙏📌
LEO TAREHE 04 /05/ 2023
Alhamdulilah" Mwenyezi Mungu mkubwa Leo namimi naitwa Baba ( BABA )
...Karibu Kwenye Ulimwengu Babangu...Naitwa Baba SHAYAN...ni Jina la kiarabu lenye maana Ya Tajiri...Liwe jina lenye kukufanya kuwa kijana mtafutaji kama Baba yako...Karibu Duniani Tajiri
Kabla Mwaka kuisha Nina zawadi Kwa wadada wote ambao Mmekuwa mkinisupport sanaa Kwenye Muziki wangu, wenye kufanya challenges Mbalimbali Tiktok,wenye kunitumia Clip zenu mkiimba Nyimbo zangu🙏Nina wapenda Sanaaa
Juma mosi Mosi hii Tarehe 18 Tukutane TABATA CHANG'OMBE Mwisho wa Rami #DOUBLEHLIQUAR
HAKUNA KIINGILIO njoo tuimbe🙏
Fika Mapemaaa Tukio litaisha saa sita Kamili Usiku na utambulisho wa Wimbo wangu Mpya
Miongoni mwa watu Nitakao watag hapa Nisha kuwa nao Kwenye Harakati zote za kujitafuta...Leo nataka Kwa mara ya Kwanza niwauzie wimbo wangu Kwa Shilingi Elf Moja Tu (1000/= Najua tumejipata kiasi chake wacha tugawane Keki😋🍾 haya nasubiri Miamala yenu nunueni Wimbo wangu...swipe
Ni siku Nyingine 🙏God ,haya Vijana wenzangu watafutaji Bado nawaomba mwendelee Kununua wimbo wangu #siyawezi Kwa ambao Hamja umiliki Kwenye simu zenu Niwatumie kupitia Namba zenu (what'sup) Tuma Tsh 1000/= na SMS ya Muamala wako nami nitakutumiwa wimbo
s'up 👉( +255 675842183 )