Hongera @DocFaustine kwa ushindi ulioiletea heshima nchi yetu. Mambo manne yametubeba:- sifa na uwezo wako binafsi, sapoti kubwa ya Mhe Rais na Serikali, heshima ya Tanzania Barani Afrika na kampeni mahiri. Pongezi kwa wote walioshiriki kampeni. Tunakutakia kila la heri.