Happy birthday to me..new year new diet.. above 35/40 years..not all type/kind food is needed to ma body..may u grant more years with strong health dear GOD ๐.
@Geoffson3@MariaSTsehai@DPWorldUAE Kwa hili La ufanisi chini ya DP WORLD..mie shaidi na bila chuki nasema na ntasimama na ukweli daima..kazi inafanyika na tupo vizuri zaidi ya jana..waombe data na walinganishe now & b4.
Tukusema tupige kula/kura..Kati SHIDA NA RAHA..nan atashinda??..naamini jibu ni raha ah mshindi raha..ila kiuhalisia shida zetu au zangu nikama huo mnyororo/chain apo hahahahaa
@YourFrenchFry ๏ฟฝ๏ฟฝ๏ฟฝ๐คฃ๐คฃ ..sio pouwa... anyway mwaka wenu Wana jangwani' neno jangwani' mlielewe vizuri muda wowote panaweza kauka au upepo ukawa mkaliiii..na sie tukaludi sehemu yetu.
@Cyancuty1@MasolaAndrew Kama ni kocha unae jiamini..Unapangiwaje kikosi??na yote sawa ..mchezaji Hana match fitness kwanini usitumie kigezo icho ku resign kazi??wamemuwai yeye xaxa na asepe then tuwakimbize hao viongozi wengine ..inauma sana goal Tano then akuna action yoyote..kifatacho SI tupigwa zaidi