Kuna dada anaitwa Mary Kuyokwa ,anapark Jeep yake pembeni anashusha speaker anachapa Injili sehemu za mikusanyiko kama sokoni etc๐๐ป
Huwa ananivutia mafundisho yake.
@lauracyee That wasn't a clear breaker block,there is a unpopular logic behind a valid breaker block that's why many of what are seen as breaker blocks fail
@EliabuDanford Yesu Kristo anaponya,watu hawaamini Kwa sababu hawajapata kuwa karibu naye sana mpaka wakaona hiyo miujiza kwao wenyewe au watu wao wa karibu. changamoto ambazo uwezo wa kibinadamu kutatua umefika mwisho ila maombi pekee ndo ikawa last option ndo utajua kuwa Jesus really heals.
๐จ BREAKING: The return of Jesus Christ is near. Accept Jesus Christ today as your Lord and Personal Saviour. Share this message because someone needs this reminder.
Hebrews 9:28: "so Christ was sacrificed once to take away the sins of many; and he will appear a second time, not to bear sin, but to bring salvation to those who are waiting for him."
God Bless you
YESU anaokoa. Anamtoa kila mtu aaminiye kutoka katika vifungo vya dhambi na minyororo ya shetani. Ninaomba usambaze ujumbe huu. Yawezekana ukaokoa maisha ya mtu leo. ๐
@hamzaalbhanj@gabyconscious Mfano kwenye vyeti vya taaluma na kuzaliwa umeandikwa JONI JAMES PETER,lakini unataka ww uitwe JOHN JAMES MGAYA. ukitafuta deed poll majina mapya yanaweza kutumika kuombea NIDA ikafanana na majina hayo mapya? Pia je itainvalidate vyeti vyako vya kitaaluma?
๐ง๐ช๐ฃ๏ธ Jeremy Doku: โWhen Jesus returns, there wonโt be a second chance. My goal is that when he returns, heโll say to me: โWell done, my son.
Jeremy, I gave you money, friends, a wife, fame, a family, resources. What did you do for me? What did you do with your money? Did you buy houses, clothes?โ
When you think about that, you realise you shouldnโt live selfishly. When he returns, I hope I can join him in eternal life; I have no other goal." ๐๐