NYAKATI NGUMU HAZIDUMU.
HILI NALO LIMEPITA—ASANTE MUNGU WANGU.
Account zangu rasmi ni hizi MBILI TUU.
@/tiva_talks @/tiva_familly
AM BACK…!🔥🔥🔥
#tutakuwepo🫵🏾😎
Asante MUNGU hili gumu sana limepita.
Kesho narudi RASMI kuendelea na kazi ya kushughulika NA WAKOLONI WEUSI.
Haya magumu ninayopitia wao ndio chanzo kikuu-siwezi kuwaacha mpaka naenda KABURINI.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Kuna wale watu wanaheshima zao kwenye Jamii afu gafla unakuja kumuona live anavuta SIGARA—huwaga inachosha sana.
Mfano kuna siku niliona video ya LUGUMI anavuta sigara nilichoka aisee.
Kipindi hicho nafuatilia kandanda, mtu niliekuwa namkubali ni HAJI MANARA, nae nikaja kuona anavuta SIGARA nilichoka.
Kuna siku tena nikamuona yule Gerald Hando anavuta vile vivespa sijui msibani mbele za watu—vile ni ishara ya kukata kiu ya FEGI nilichoka.
Hii starehe ya kuvuta CHIGA (SIGARA) ni ya kipumbavu—hili halina MJADALA.
Mmeamkaje wapenzi wangu😘
Karibuni chupi nzuri, laini na yenye kukupa mvuto 🔥🩲👙
📍Chupi sita 30,000
Unaruhusiwa kuchanganya design tofauti tofauti
📞0754-618108
🛵Tunakuletea popote Tanzania
Hello wapenzi wangu😘
Karibuni chupi nzuri, laini na yenye kukupa mvuto 🔥🩲👙
📍Chupi sita 30,000
Unaruhusiwa kuchanganya design tofauti tofauti
📞0754-618108
🛵Tunakuletea popote Tanzania
Hello my good people 😘
Karibuni chupi nzuri, laini na yenye kukupa mvuto 🔥🩲👙
Material yake ni Cotton
📍Chupi sita 30,000
Unaruhusiwa kuchanganya
📞0754-618108
🛵Tunakuletea popote Tanzania