Bro, najua hiyo Tshs 8,000,000/= unawaza kununua VITS ili ionekane umenunua gari. Ni kiasi kidogo, Lkn kinaweza kubadili maisha yako. Uki-invest vizuri inaweza kukuingizia 58M for 2yrs ONLY.
Nisikilize, achana na gari, hebu tuiweke ktk biashara within short time uone mafanikio👇
@ExMayorUbungo Kaka nilikuwa nakuheshimu na kukuona kama role model... Ila hemisha yote Nime itupa chooni baada ku kukuona una kaa upande wa *freeman mbowe*