@George_Ambangil Huu ni mpira wa miguu sio tennis, so mafanikio yako lazima yawe na impact kwenye team. Kumpa mbappe puto bora apewe Kane kama kakosekana wa kupewa
@Tony_Zombie28@princemagaritz@warden_13i Mfano boss anataka ring circuit kwenye mfumo wa wiring pia kwenye decoration akaleta Aluminum na magnetik profile za kutosha bado kuna chandelier, Celling fan, wall light za kisasa bado nje kuna garden inabidi iwake na ipendeze, bado kuna fance, motor gate,intercom mzee vitu ni
@Tony_Zombie28@princemagaritz@warden_13i Sawa kaka me mwenyewe nimefanya kazi muda sana na kila aina ya wateja wakubwa na wadogo taasisi binafsi na serikali laki nimetoa maoni kutokana hadhi ya nyumba. Pia inategemeana na mteja ye anatakaje na anataka nn kwenye nyumba yake,
@GasperPhilbert@kalage_jr Sijui watu wanaichukiliaje Morocco asee yani team iko nafasi ya 7 kwenye rank za Fifa alafu wanaisi kama wamebatisha game asee binafsi nilijua Morocco atashinda hii game