@moodewji@DewjiFoundation Asalam alaykumu anko mo dewji mimi nimemaliza masoma ya level II nilikuwa na chukua cozi ya Information communication technology Napenda niendelee level lll sijui naweza kupata na fasi katika taasisi yako
Assalam alaykum Tanzania kwa majina naitwa said juma menuz Nina umri wa miak 18 nina KIPAJI CHA MPIRA⚽ Ndoto yangu kubwa nikuja kuwa mchezaji mkubwa hapa Tanzania na duniani kwa ujumla Ninahitaji san msaada kwaajili ya kukiendeleza kipaji changu Napatika kwa no 0688261558🙏
@moodewji Assalam alaykum anko modewjiNaitwa said juma ninakipaji cha mpira wa miguu naitaji sana msaada wako kwaajili kufikia ndoto zangu nitashukuru sana endapo utanisaidia mungu akubalik anko mo dewji mungu ibarik simba 🙏
@moodewji@SimbaSCTanzania Assalamualaikum anko moodewji naitwa said menuz mimi ni kijana wa kiislamu alafu pia ni mtanzania Nina kipaji cha mpira naomba unipatie walau nafasi ya majaribio katika team yako vijana nina umli wa miaka19 ahsante..!