UUME MKUBWA Ni Kisabashi Cha Michubuko Kwenye Mlango Wa Kizazi (CERVIX)
Saizi ya kawaida ya uume ni katiya inches 5.1 - 5.5 ni sawa na CM 12.95-13.97, kulingana na maumbile ya mwanamke, Kupenya kwa kina kwa uume wakati wa kujamiiana kunaweza kufikia mlango wa kizazi na ku sababisha michubuko.
Iwapo mwanamke utapata michubuko kwenye mlango wa kizazi wakati wa ngono, Itakusababishia maumivu makali chini ya kitovu na kukosa kabsa raha ya tendo.
Kama michubuko itakuwa ya mda mrefu, yaweza sababisha mlango wa kizazi kulegea na kusababisha mimba kutoka ifikapo miezi 6-7.
NIHATARI: Wanaume Tusitumie Madawa Ya Kuongeza Uume Umtoa Mtoto Wawatu Kizazi.
MAMBO [ 5 ] YA KUZINGATIA KILA SIKU UAMKAPO ALFAJIRI.
MWANAUME: Hakikisha uume wako umesimama kwa muda usiopungua dk 1.
MWANAMKE: Yakague matiti yako, yabonyeze na kupapasa ili kugundua ikiwa yanauvimbe au La.
MWANAMKE: Kagua uke wako kama una ute wowote na una hali gani? Uchafu au wa kawaida!!! Itakusaidia kulinda afya ya uke wako.
Fanya mazoezi ya "KEGEL" walau Dk 30, Kunywa glass mmoja ya maji vugu vugu.
Mshukuru Mungu kuamka salama GOOD MORNING ๐
Mambo Ya Muhimu Kuzingatia Katika Maisha Ya Kila Siku.
Uzi๐งต
1.JIAMINI
Mafanikio ya kweli yanaanza na wewe. Hivyo, kujiamini ni msingi mzuri utakaokufanya utambue uwezo wako katika kufanya jambo fulani.
AMINI UWEZO WA KUFANYA JAMBO LOLOTE UKO MIKONONI MWAKO..โ
WANAUME MADINI HAYA HAPA ZINGATIA: Moja Ya Sifa Ya Mwanaume Kamili Ni Uwezo Wake Wa Kumkojoza Mwanamke kisawa sawa, Mwanaume Akipoteza Sifa Hiyo Inatosha Kumfanya Adharaulike Na Hata Yeye Mwenyewe Kutokujiamini.
Uzi ๐งต
RETWEET ๐ KUOKOA WALIOWENGI KATIKA AIBU.
AFYA YA UUME WAKO: Mwanaume Iili Uume Wako Uwe Na Afya Itakupasa Ufanye Yafuatayo.
1. Kula vyakula vyenye zinc kama pweza, Mayai, karanga, korosho, maziwa, mbegu za mboga, vitunguu swaumu, Tende na Tikiti maji.
2. Kunywa maji mengi angalau lita mbili na nusu mpaka tatu na nusu kwa siku kulingana na kilo zako.
3. Fanya mazoezi, Mazoezi ya Kegel, Mazoezi ya pumzi, mazoezi ya kudhibiti na kutawala hisia.
4. Pumzika kwa wakati, Pata mda angalau maaaa 7-8 kwa siku, Pumzisha akili yako, hisia zako, na mwili wako.
5. Vaa nguo nyepesi zisizobana mapumbu au korodani zako, Ukiwa Nyumbani usivae nguo zakubana, Epuka kuvaa suruali 2 kwenye joto kalii, Lala na nguo nyepesi au Lala uchi ni Afya.
TUISHI HAPA KWA LEO, RETWEET ๐ VIDEO โถ๏ธ IPO TELEGRAM SUBSCRIBE CHANEL LINK KWENYE COMMENT. ๐ช๐๐
Fahamu VPN kubwa 7 Ambazo Unaweza Kupata Free Internet Baada ya 75%
Hakuna meseji inaboa kama ya 75% watumiaji wengi wa mitandao wanashindwa kuenjoy sababu ya gharama za kukaa mtandaoni
Veep ukipata solution ambalo litaextend mda wako na kukamilisha mizunguko yako Tiktok๐