Jana ilivofika Half Time Tukiwa Nyuma kwa goli moja Tukiwa Vyumbani nilipokea simu kutoka kwa Ndugu yang yupo Nigeria aliniambia rafiki ake ameweka Tsh 1,300,000 ya Ada kwa ajili ya Victor Osimhen Kufunga. Ndio maana nimefunga kumuokoa mwafrika mwenzangu aendelee kusoma na kuishi