The ONLY thing that keeps me alive and thriving in this game is RISK MANAGEMENT.
Every successful trader understands the importance of RISK MANAGEMENT as a topic.
We don't skip itโฆ and thatโs EXACTLY why we WIN.
Simple!
@EmmausAskofu Corrected:
Sisi Askofu Mwamakula tunafuatilia taarifa za kukamatwa kwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche huko Kariakoo! Tutatoa kauli baada ya kupata taarifa kamili
Siku hizi nadandia mpaka treni za mwendokasi kwa mbele ๐
nikiendelea hivi naona watu kama @jeffliquidator wataanza kunifanya LIKWIDITI
Ni wakati sasa nianze kujinoa upya kihisia niwe na Patience
niwe nasubiri setup zinakaa mkao na mm nianze ku-snipe kama @cr_xniper
๐ค
Nafanya hivyo bila kujali price iko eneo gani sababu margin yangu inatosha kuhold loss
yote hiyo kwa sababu najua price itacheza-cheza tu lakini mwishowe lazima igonge TP.
Sasa hii tabia naona inataka kunitoa damu puani ๐ฉธ
`