#WIKIYAUNYONYESHAJI: Baadhi ya Wamama Waajiriwa Wanaonyonyesha wanakabiliwa na changamoto ya muda mdogo au hawapati kabisa likizo ya uzazi. Ukosefu wa Likizo ya Uzazi ya kutosha inaweza kumlazimisha Mama kurudi kazini mapema kabla ya kuwa tayari kuacha kunyonyesha na kuathiri ukuaji wa mtoto
Kujua changamoto nyingine na suluhusho, pamoja na Haki za Mama Mwajiriwa anayenyonyesha, usiache kujiunga nasi katika Mjadala na Wataalamu wa Masuala ya Uzazi na Sheria, leo Agosti 7, 2024 kuanzia Saa 12:00 Jioni hadi Saa 2:00 Usiku kupitia #XSpaces ya JamiiForums
Kushiriki Mjadala https://t.co/tuOdfDLBzi
#JamiiForums #BreastfeedingMoms #WikiYaUnyonyeshaji #SocialJustice #JFWomen #JFSpaces #WomensRights