@Mhabe7@MrDepalitto9 Matthew 12:11
Akawaambia, Ni mtu yupi miongoni mwenu mwenye kondoo mmoja, na yule kondoo ametumbukia shimoni siku ya sabato, asiyemshika akamwopoa?
@IdrisSultan Hela za big brother ulipeleka wap au unadhan tumesahau ulikua unajifungia ndani unakula tambi kwa msaada wa ubalozi saiv unaona vijana wanao jitafta wanapiga kelele si bora sisi kuliko weee unae sujudia visivo sujudika
@Outset_Of_Omega@ReganTesla_ Vpn haiongezi speed ila ubola unatofautiana
Mfano zipo ambazo uki connect ikifika mda inaji disconnect
Au nyingiii ni one time afu inaacha kufanya kazi
Pia zingine matangazo ni mengi na zingine ni free hamna ata ads kabisaaaa
Anyway mambo ni mengi