Mambo mazuri huwa yanachukua mda sana ila siku yako yaku barikiwa kupata kitu unacho kipenda ikifikia ndipo utakapo juwa kwamba kuwa na subira katika maisha itakufanya upate kufanikiwa kwenye kila mipango yako unayo yapanga✊🙏 #bepatients
Kuna mambo mengine siyo kwamba uwezi weza kuya fanya, we endelea tu kujaribu jaribu mwisho wasiku utaweza mahana akuna anaye weza kujuwa kitu bila kujaribu✊
Kwenye maisha najuwa watu watakuja na kuondoka, ila wale waukweli na wanao juwa thamani yangu watabaki nami haijalishi nina mapungufu kiasi gani✍️✊ #truelove