ukiachana na misimamo juu ya misingi ya haki,seminary zimewajenga vijana wengi kwenye misingi ya imani ๐akiulizwa una namba ya mtu gani maarufu wengi huwataja maparoko wao utasikia nina namba ya askofu WOLFGANG PISA askofu wa jimbo katoliki Lindi na rais wa TEC ๐๐
lile agizo la RC kwamba bus zote zianzie stand ya mkoa,limeondoka na giant wengi hii hapa miamba mi5 ilio na vibali vya kuanzia either SHEKILANGO au URAFIKI
1 ally's star ๐
2 abood
3 ratco
4 happynation
5 Kilimanjaro express
kama chama lako halipo kwenye list jitafakari sana
people will be rich regardless of whether you like them or not, irrespective of whether what they're doing is moral or ethical, the rules of money do not have feelings or opinions.
mwaka 2023 ma Barbie wenyewe,bi dada ICE SPICE & NICKI MINAJ walipotuBless track la BARBIE WORLD ,dada zetu wengi wa kibongo walijiona ma Barbie mpka pale walipogundua hawawezi kupita na verse kamili ya yoyote sio ya NICKI MINAJ wala ICE SPICE ๐
some people say they owe nobody nothing, i can't say the same
too many hands have lifted me, i hold it dearly to heart
i pray i return the favor, when the time comes