you see that contentment and staying out of competition, i have it in abundance.
nobody's lifestyle is enough to make me run more than i should.
motivated? yes. pressured? no!
leo hatutakua wazi kwa maana ya maduka yote mawili
MERU CLOTHING STORE iliopo opposite na Natron Hotel
CLOTH BY MJ iliopo opposite na KALOLENI SECONDARY
tutakua wazi kesho kukiwa na uzima, likizo fupi kwa heshima ya mabingwa wapya wa uingereza
kwenye ile report TEC hawakualikwa π
wale wako real sana,katibu mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki amekua akiwapa speech nzito sana gavoo
anyway nilikua nawaza tu β Fr.Kitima
ni bahati sana city hawakua na ule ubora wao na walipoteana mapema, vinginevyo hata epl tunaeza tusibebe, arsenal yangu hua inakosa ile mentality ya kibingwa sijui hata ni kwanini