WEKAWIN, Simba la Mikeka. Weka na Ushinde kila wakati upate zaidi
📌Hakikisha unatumia Promo Code wakati wa kujisajili
📌Pakua App, Ingia, Jaza taarifa zote
Kujisajili ⤵️
https://t.co/Rca9j0QLNF
Promo code: YAMAL52
Kupakua app⤵️
https://t.co/QS1MazFI5t
Ushindi upo huku⚡
Kuna masimulizi niliyapata kwa wazee wangu huku kijijini, Itoshe kusema tu kwamba zamani zimechezwa rafu nyingi sana.
Wanaeleza kuwa kipindi cha wale wakunga wa jadi, mtoto angezaliwa na kuonekana na kilema cha aina yeyote ile hasa vile vilema vikubwa vikubwa wale wakunga walikuwa wanavimaliza kule kule mzazi angeambiwa tu kuwa mwanao kafariki💔
Maendeleo ya sayansi na teknolojia yamekuja kusaidia kuondoa hizo mambo ndio maana siku hizi hata mabinti hawakeketwi.
Mungu ana kazi ngumu sana kuhusu kuyapokea maombi yetu binadamu
Binafsi kila siku huwa namuomba Mungu anipe BLESSED kwa sababu pekee ndiye mwanamke mzuri wa ndoto zangu ila kuna mwanangu ndoto zake yeye ni siku itokee alale na mwanamke ALBINO.
Mungu ukipendezwa tusamehe sana 🙏🏽