https://t.co/bb2Ribdq13
Lovers it's your girl @metricier please #retweet iwafikie watu wengi zaidi .... Please view and subscribe a song by the name #bounceup by @metricier ..Thank you for ur support 😍😘.
Dah! Vijana tutafute hela asee, tunaahidi watoto hadi pipi ya mia.
"Kesho ntakununulia pipi mwaya eeh" 😂😂😂. Na kesho ikifika ukimuona unabadilisha njia au unatunga sound mpya.
@bingwa_mtoto #kwaheriumaskini biashara nzuri na yenye faida ni ile ambayo mtu binafsi ana passion ya kuifanya, hatakubali kushindwa au kukata tamaa ilhali anapitia changamoto gani.