@Ndera_Wirtz@Roma_Mkatoliki@mugheiry_rashid Wapo watu wenye uwezo sana na walikua na hiyo mentality unayoiwaza lakini siasa za sasa ndani ya mfumo taka zinautaka utajiri wa wanasiasa kiliko maendeleo ya wananchi.
Siasa za sasa ni mtaji ndo maana watu watalogana hata kutoa uhai ili tu apate nafasi
@kapeto98@Realkajoyo Huyu mtu wa 3 ndo tunamuita third part,hivyo bima inaweza kilipa gharama za hasara kwa mtu au watu watakao sababishiwa hasara na mtu aliyekata bima kwenye kampuni ya bima.
Huyu mwenye hii gari anaweza kulipwa na bima ya gari iliyomgonga ikithibitika kuwa yeye hakuna na makosa
@kapeto98@Realkajoyo Third part kama neno lilivyo linasimama kama mtu wa tatu,hii inamaanisha mtu anapoenda kukata bima kwenye taasisi ya bima, inakua ni makubaliano ya watu wawili(mkata bima na kampuni ya bima) na makubaliano haya yanaainisha utekelezaji wa kilipa gharama za fidia kwa mwingine(mtu3)
@hancymachemba@Bichwa_19@Mdunguaji23@Eng_Matarra Ila jamaa alipost kitu flan kuhusu katavi before sativa kupatina,then sativa kweli akaja kupatikana katavi
Kama sikosei aliandika โsimu ziite kataviโ
@MdemuPolycarp Hapa shehe anataka kutufukuza raia karibia wote tulio tanzania kwa sasa,Ukichunguza historia vyema utasema wangoni nao sio watanzania,utasema na wachaga pia warudishwe kwao
Shehe aache hizi mambo
@kwamekivaisi Aliwadhulumu polisi au,oyster bay walimpeleka kufanya nini!!?
Hata kama unamchukia huyu muhanga wa utekaji,jaribu kuwa binadamu mkuu.
Ushawahi kujiuliza wewe ukipotea sasa hivi familia yako na watu wako wakribu watakua katika hali gani!!?
Ukinyamaza pia unaweza ukawa mtu wa maana
@IAMartin_ Wasomi wasio kua na maarifa,wakidhani mbowe na watu wengine, wanapambana kuipinga ssm kwa kua wanamaslai yao binafsi,wanashindwa kuelewa kina mbowe wanaweza kuishi maisha yao pasipo kuteseka kwa gharama za maisha na mifumuko ya bei.
Sijui wakutwe na nini ndio akili ziamke !!
@IAMartin_ Taifa lenye raia maskini wanaopiga wezi wa kuku na kuwaua huku likitetea wezi wa future zao na za wajukuu wao tena wakiwatetea waziwazi hata kwa kuuana ili tu mwizi apate nafasi ya kuiba future
Maskini hawa wengi wana nunuliwa kwa kanga,sukari kilo na sabuni za kutumia siku 2